Itakapoingia sokoni bei itaongezeka mara dufu na baadhi ya features zitakuwa scraped.Baada ya kusubiri sana, zaidi ya miaka Tisa, hatimaye Tesla wametuletea Roadster 2, ambayo mbali na sifa kibao, Ina uwezo wa Kupaa.
View attachment 3691495
Kwa kutumia compressed air thrusters, kutoka SpaceX technology, gari Ina paa kwenye matuta and inaweza kuperform baadhi ya stunts ikiwa hewani.
Kwenye X (twitter), Tesla wameandika: "Today, Roadster presents a new moment in history – the best of the last human-driven cars,"
Kwanza ni fastest car in the world hadi sasa, inaenda 0-100 km/h ndani ya 1.9.second, na hii ni base model. Yaani ukiblink, hauioni. Kutakua na special model inaitwa, SpaceX package, hii itatoka 0-100 km/h chini ya sekunde moja. Itatumia cold-gas technology wanayotumia SpaceX kufanya matrip yao uko angani.
View attachment 3691496
Pili, top speed inafika 400 km/h. Sijui, tutaitestia wapi hapa Tanzania.
Tatu, Ina bonge la battery la 200 kWh, inakupa range hadi ya Kilometa 1,000 kwa single charge, na inakuja na Miata tatu au Nne, AWD.
View attachment 3691497
Kuhusu Kupaa, ni rocket science ila itakua kwenye model ya SpaceX package, kwahiyo zile seat za abiria zitakua replaced na special tank Composite Overwrapped Pressure Vessel (COPV) ambayo itazipower rockets kama 10 hivi ziliopo kwenye gari, kwahiyo itakapohitajika mfano, hizo thrusters zinapoint chini au pembeni na kupush izo cold-gas kwa extremely high pressure.
Na ikumbukwe, hii ndio gari ya Mwisho kutoka Tesla kuendeshwa Manually, yajayo yanafurahisha.
Bei sio kubwa, $200k hivi kwa base.
Duuh 2015 hadi leo unakufa tu hujapata haki yakoItakapoingia sokoni bei itaongezeka mara dufu na baadhi ya features zitakuwa scraped.
Kumbuka cyber truck bei aliyotamgaza wakati wa demo na baada ya kuingia sokoni features nyingine zilikuwa scraped.
Hiyo ni demo na huenda itachukua miaka kuingia sokoni. Besides kuna watu waliweka deposite ya roadster toka 2015, mpaka now hawajapata.
Hii sasa ndio mwendo wa ngiri kimba nje maninaBaada ya kusubiri sana, zaidi ya miaka Tisa, hatimaye Tesla wametuletea Roadster 2, ambayo mbali na sifa kibao, Ina uwezo wa Kupaa.
View attachment 3691495
Kwa kutumia compressed air thrusters, kutoka SpaceX technology, gari Ina paa kwenye matuta and inaweza kuperform baadhi ya stunts ikiwa hewani.
Kwenye X (twitter), Tesla wameandika: "Today, Roadster presents a new moment in history – the best of the last human-driven cars,"
Kwanza ni fastest car in the world hadi sasa, inaenda 0-100 km/h ndani ya 1.9.second, na hii ni base model. Yaani ukiblink, hauioni. Kutakua na special model inaitwa, SpaceX package, hii itatoka 0-100 km/h chini ya sekunde moja. Itatumia cold-gas technology wanayotumia SpaceX kufanya matrip yao uko angani.
View attachment 3691496
Pili, top speed inafika 400 km/h. Sijui, tutaitestia wapi hapa Tanzania.
Tatu, Ina bonge la battery la 200 kWh, inakupa range hadi ya Kilometa 1,000 kwa single charge, na inakuja na Miata tatu au Nne, AWD.
View attachment 3691497
Kuhusu Kupaa, ni rocket science ila itakua kwenye model ya SpaceX package, kwahiyo zile seat za abiria zitakua replaced na special tank Composite Overwrapped Pressure Vessel (COPV) ambayo itazipower rockets kama 10 hivi ziliopo kwenye gari, kwahiyo itakapohitajika mfano, hizo thrusters zinapoint chini au pembeni na kupush izo cold-gas kwa extremely high pressure.
Na ikumbukwe, hii ndio gari ya Mwisho kutoka Tesla kuendeshwa Manually, yajayo yanafurahisha.
Bei sio kubwa, $200k hivi kwa base.
Ni ngoriMuungwana ameandika jambo la zuri na maana kuhusu maendeleo ya teknilojia ya vyombo vya moto, kuna ubaya gani kulike gentleman? 🐒
😂😂😂Ni vile Tu Wicknell kafariki hii angetuzawadia Sisi Marafiki zake
Hahahahhh ....kazi ipo!Wanaume hao
Huku bongo wanabuni mbinu za kuchelewa kukojoa..!!
Komaa na uchawa na alizeti huko.Muungwana ameandika jambo la zuri na maana kuhusu maendeleo ya teknilojia ya vyombo vya moto, kuna ubaya gani kulike gentleman? 🐒
Majukumu ya kiserikaliNi ngori
Niko vijijini nakagua miradi.Majukumu ya kiserikali
Mmeshapigq hela za el nino halafu hakuna hata tone la mvua 😂😂Niko vijijini nakagua miradi.
unakariri mambo gentleman 🐒Komaa na uchawa na alizeti huko.
Kwenye EV mbona Mchina yuko mbele kwa mbali. Nchi za Magharibi wanalijua hiloWazee wa Copy and Paste wanasubiri kuiba files (hacking) Kisha waanze mass production Kisha zee la propaganda Toka uko uchinani Xi Jinping atakuja na nyuzi zake za kuisifu
&Kuabudu china kua Iko mbele miaka 100 kitech kuliko watasha
Kwani wachina hawana gari zinazo paa?Wazee wa Copy and Paste wanasubiri kuiba files (hacking) Kisha waanze mass production Kisha zee la propaganda Toka uko uchinani Xi Jinping atakuja na nyuzi zake za kuisifu
&Kuabudu china kua Iko mbele miaka 100 kitech kuliko watasha
Labda zile za kwenye movie zao maana hata wao hupaa na kupaaKwani wachina hawana gari zinazo paa?
Muungwana ameandika jambo la zuri na maana kuhusu maendeleo ya teknilojia ya vyombo vya moto, kuna ubaya gani kulike gentleman? 🐒li
Wanaweza kuwa nazo lakini sidhani kama zinatumia tech kama hii ya Tesla...Kwani wachina hawana gari zinazo paa?