Sasa hio million 63 sindio unapaswa kuiongezea kwenye ile $60,000? Ama kweli bongo tunaumizana bila hurumaSure, Model Y ya 2025 ushuru sio wa moto sana Mil 63+ hivi.
View attachment 3214759
Ni Model X ndio ina ushuru wa moto sana.
View attachment 3214761
Ni hela ndogo kama unazoMuonekano ni mzuri, lakini kikubwa ni economy of scale kwenye energy
Dollar 60,000 Kibongo Bongo ni kama milioni 150 hivi
Lakini Convenience iko kwenye Hybrid. Yani hio pesa ni aheri ununue Prius Hybrid ya 2023 ile.Hizo gari uzuri wake ni za Umeme, kwahiyo hakuna kukutana tena Sheli kujaza mafuta
Kwa kweli, tuna vyanzo vingi vya Kodi lakini wao wamekazana na hizo Kodi za kuumizanaViongozi wana roho mbaya sana
Ukiplus na Kodi za bandarini na TRA itakuja kama milioni 300 Fulani hivi πNi hela ndogo kama unazo
Ni kweli lakini changamoto bado gharama za gesi na fuel zipo juuLakini Convenience iko kwenye Hybrid. Yani hio pesa ni aheri ununue Prius Hybrid ya 2023 ile.
Sisi tunakomoana kwenye ushuruWao wanatengeza magali cc tunaunda lesen
Offcourse ni pesa nyingi ila chuma kiko vizuri halafu hakuna route za kwenda petrol stationUkiplus na Kodi za bandarini na TRA itakuja kama milioni 300 Fulani hivi π
Ni nyingi Mkuu
Kwenye huo ushuru ni kwamba ukishalipia serikali inakununulia matairi na kukupatia kinguvu askari wawili watakaokuwa wanakulinda? au imeweka ushuru huo kwa lengo la kulinda viwanda vya magari vinavyo tengenezwa magri nchini? Au wameweka ushuru huo ili kudhibiti wananchi wasinunue sana magari ya anasa?Sure, Model Y ya 2025 ushuru sio wa moto sana Mil 63+ hivi.
View attachment 3214759
Ni Model X ndio ina ushuru wa moto sana.
View attachment 3214761
Ni kweli MkuuOffcourse ni pesa nyingi ila chuma kiko vizuri halafu hakuna route za kwenda petrol station
Hawawezi ku-promote gesi wakati wana makampuni ya mafutaNi kweli lakini changamoto bado gharama za gesi na fuel zipo juu
Pia Kuna baadhi ya mikoa haina vituo vya kujaza gesi
Ndiyo ujue hii Nchi haina Viongozi wenye maono
Wanahubiri nishati safi wakati magari zaidi ya 99.7 yaliyopo tanzania wanatumia fuel π
Ndiyo ujue hawa Viongozi wetu hawana nia ya dhati kuikwamua Nchi yetu kiuchumiHawawezi ku-promote gesi wakati wana makampuni ya mafuta
Ili wapate hela za posho kwenye vikao vyaoKwenye huo ushuru ni kwamba ukishalipia serikali inakununulia matairi na kukupatia kinguvu askari wawili watakaokuwa wanakulinda? au imeweka ushuru huo kwa lengo la kulinda viwanda vya magari vinavyo tengenezwa magri nchini? Au wameweka ushuru huo ili kudhibiti wananchi wasinunue sana magari ya anasa?
πNi kweli Mkuu
Gari imetulia halafu hakuna kwenda Petrol station kujaza mafuta
ππ
Ndio maana viongozi hawatakiwi wawe wafanyabiasharaNdiyo ujue hawa Viongozi wetu hawana nia ya dhati kuikwamua Nchi yetu kiuchumi
Imagine unakuwa na Waziri wa nishati mwenye makampuni ya uuzaji wa majenereta, hata kama mtakuwa mna mabwawa kama ya Mwalimu Nyerere kumi lakini lazima Umeme uwe wa mgawo ili auze majenereta yake π
Ni kweli, japo Kwa Nchi zilizoendelea haina shida kuwa na Viongozi wafanyabiashara ama matajiriNdio maana viongozi hawatakiwi wawe wafanyabiashara
Mapinzani nayo mavi tu yamekalia kuunga juhudi tu!Mamlaka hazitaki kumsaidia mwananchi wa kawaida
Haiwezekani gari ya Mwaka 1997 iwe na Kodi sawa na gari ya Mwaka 2024
Hii Nchi tumekosa Viongozi wenye maono