Tesla wamezindua Update ya Model Y: Codenamed "Model Y Juniper"

Tesla wamezindua Update ya Model Y: Codenamed "Model Y Juniper"

Viongozi wana roho mbaya sana
Kwa kweli, tuna vyanzo vingi vya Kodi lakini wao wamekazana na hizo Kodi za kuumizana

Walikuwa na uwezo wa kupunguza Kodi za kuagiza magari lakini wakaja kuirudisha kupitia kwenye fuel na gesi mteja anapoenda kujaza kwaajili ya Chombo chake cha usafiri
 
Lakini Convenience iko kwenye Hybrid. Yani hio pesa ni aheri ununue Prius Hybrid ya 2023 ile.
Ni kweli lakini changamoto bado gharama za gesi na fuel zipo juu

Pia Kuna baadhi ya mikoa haina vituo vya kujaza gesi

Ndiyo ujue hii Nchi haina Viongozi wenye maono

Wanahubiri nishati safi wakati magari zaidi ya 99.7 yaliyopo tanzania wanatumia fuel 🙌
 
Mbadala wa hii model kwa upande wa China ni matoleo yapi?.
Labda Xpeng G6 tatizo nayo ya moto bei karibia $50,000

XPeng_G6_001.jpg

Ukitaka cheaper Nio Onvo L60 hii kwa $23,000 unaipata
images (9).jpeg
 
Sure, Model Y ya 2025 ushuru sio wa moto sana Mil 63+ hivi.

View attachment 3214759
Ni Model X ndio ina ushuru wa moto sana.

View attachment 3214761
Kwenye huo ushuru ni kwamba ukishalipia serikali inakununulia matairi na kukupatia kinguvu askari wawili watakaokuwa wanakulinda? au imeweka ushuru huo kwa lengo la kulinda viwanda vya magari vinavyo tengenezwa magri nchini? Au wameweka ushuru huo ili kudhibiti wananchi wasinunue sana magari ya anasa?
 
Ni kweli lakini changamoto bado gharama za gesi na fuel zipo juu

Pia Kuna baadhi ya mikoa haina vituo vya kujaza gesi

Ndiyo ujue hii Nchi haina Viongozi wenye maono

Wanahubiri nishati safi wakati magari zaidi ya 99.7 yaliyopo tanzania wanatumia fuel 🙌
Hawawezi ku-promote gesi wakati wana makampuni ya mafuta
 
Hawawezi ku-promote gesi wakati wana makampuni ya mafuta
Ndiyo ujue hawa Viongozi wetu hawana nia ya dhati kuikwamua Nchi yetu kiuchumi

Imagine unakuwa na Waziri wa nishati mwenye makampuni ya uuzaji wa majenereta, hata kama mtakuwa mna mabwawa kama ya Mwalimu Nyerere kumi lakini lazima Umeme uwe wa mgawo ili auze majenereta yake 🙌
 
Kwenye huo ushuru ni kwamba ukishalipia serikali inakununulia matairi na kukupatia kinguvu askari wawili watakaokuwa wanakulinda? au imeweka ushuru huo kwa lengo la kulinda viwanda vya magari vinavyo tengenezwa magri nchini? Au wameweka ushuru huo ili kudhibiti wananchi wasinunue sana magari ya anasa?
Ili wapate hela za posho kwenye vikao vyao
 
Ndiyo ujue hawa Viongozi wetu hawana nia ya dhati kuikwamua Nchi yetu kiuchumi

Imagine unakuwa na Waziri wa nishati mwenye makampuni ya uuzaji wa majenereta, hata kama mtakuwa mna mabwawa kama ya Mwalimu Nyerere kumi lakini lazima Umeme uwe wa mgawo ili auze majenereta yake 🙌
Ndio maana viongozi hawatakiwi wawe wafanyabiashara
 
Ndio maana viongozi hawatakiwi wawe wafanyabiashara
Ni kweli, japo Kwa Nchi zilizoendelea haina shida kuwa na Viongozi wafanyabiashara ama matajiri

Huku kwetu Viongozi wote Serikalini ni mafisadi na ni Wezi

Imagine Elon musk alipotaka kutuuzia data za simu Kwa gharama za Chini, baadhi ya Viongozi wenye mamlaka na mawasiliano wakaonwa na watu wa mitandao wakapewa Chao

Kisha Elon akanyimwa kibali 🙌
 
Mamlaka hazitaki kumsaidia mwananchi wa kawaida

Haiwezekani gari ya Mwaka 1997 iwe na Kodi sawa na gari ya Mwaka 2024

Hii Nchi tumekosa Viongozi wenye maono
Mapinzani nayo mavi tu yamekalia kuunga juhudi tu!
 
Back
Top Bottom