Tesla wasitisha Autopilot ya bure kwenye magari yao mapya! Ukihitaji utaipata kwenye FSD kwa $99/month!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
Imekua officially.

Tesla wamesitisha Autopilot kwenye magari yao yote ya kuanzia mwaka 2026 nakuendelea.

Kwa sasa utapata basic cruise control (itakayo ongeza na kupunguza speed) na traffic awareness kama speed detection, signs nk., lane centering kwenye highway nk. LAKINI kukata kona, kuhama upande, kujiendesha, kuwasha brinkers, nk SIO BURE tena unatakiwa ulipie $99 (kama Tsh 260,000/=) kwa mwezi au $1,000 kwa mwaka (karibia Mil 2.6)!

ILA kwa magari used 2026 Jan kurudi nyuma yataendelea kuvimba na Autopilot.
 
Dah haya Bhan
 
BYD ndiyo habari ya mjini hivisasa ...wameshaanza kuuza pick up zao shark 6 zenye sterling ya kulia.
Hilux,ford ranger,d-max, Amarok , Navara kaeni mkao wa kukimbia TANZANIA kama mapinduzi yaliyotokea kwenye mabus

Hii gari bei yake ni USD 65,000 hapa ni zero kilometres
Screenshot_20260125-172400.png
 
Imekua officially.

Tesla wamesitisha Autopilot kwenye magari yao yote ya kuanzia mwaka 2026 nakuendelea.

Kwa sasa utapata basic cruise control (itakayo ongeza na kupunguza speed) na traffic awareness kama speed detection, signs nk., lane centering kwenye highway nk. LAKINI kukata kona, kuhama upande, kujiendesha, kuwasha brinkers, nk SIO BURE tena unatakiwa ulipie $99 (kama Tsh 260,000/=) kwa mwezi au $1,000 kwa mwaka (karibia Mil 2.6)!

ILA kwa magari used 2026 Jan kurudi nyuma yataendelea kuvimba na Autopilot.
Huyu jamaa asipokaa vizuri mchina anamtoa kwenye reli
 
Back
Top Bottom