Dah haya BhanImekua officially.
Tesla wamesitisha Autopilot kwenye magari yao yote ya kuanzia mwaka 2026 nakuendelea.
Kwa sasa utapata basic cruise control (itakayo ongeza na kupunguza speed) na traffic awareness kama speed detection, signs nk., lane centering kwenye highway nk. LAKINI kukata kona, kuhama upande, kujiendesha, kuwasha brinkers, nk SIO BURE tena unatakiwa ulipie $99 (kama Tsh 260,000/=) kwa mwezi au $1,000 kwa mwaka (karibia Mil 2.6)!
ILA kwa magari used 2026 Jan kurudi nyuma yataendelea kuvimba na Autopilot.
ulishawahi tumia electric carElon anatamaa sana. Sanaaaa. Lazima itamcost. Mchina ana gari za $15,000 zinayo yeye anatoa kwenye magari ya $50k
Huyu jamaa asipokaa vizuri mchina anamtoa kwenye reliImekua officially.