Tesla Yatua Bongo

Tz hiyo gari muda wake labda 10 yrs from now
 
After sale services ndio issue hapo, sio bei yake
Hapo inabidi uwapate mafundi wanaotambuliwa na kampuni ya Tesla, la sivyo ukileta uswahili na kuipeleka gari yako kwa fundi 'mtaalamu' utaishia kusaga meno๐Ÿ˜
 
Kwanza kagari kenyewe kabayaa, kwa mbele kanataka kufanana na tule tu volkswagen beetle tulitokuwa tunatuita gongo chura, ila uliza bei yake sasa utachanganyikiwa
 
Kwanza kagari kenyewe kabayaa, kwa mbele kanataka kufanana na tule tu volkswagen beetle tulitokuwa tunatuita gongo chura, ila uliza bei yake sasa utachanganyikiwa
Naunga mkono, ni kama zile za chura ila updated version. Kwani ni automatic car!?., yaani inajiendesha yenyewe!?. 100m kwa Hilo gari, mmmh!! Labda
 
Steering wheel upande wa kushoto Ina maana Tesla hawana taarifa Kuna nchi tunatumia upande wa kushoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ