Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 463
- 1,009
Haya vijana changamkeni Tesla ishatua Mlimani city jameni😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuanzia 100mUlizia bei wakuzime kama taa
Hapo inabidi uwapate mafundi wanaotambuliwa na kampuni ya Tesla, la sivyo ukileta uswahili na kuipeleka gari yako kwa fundi 'mtaalamu' utaishia kusaga meno😁After sale services ndio issue hapo, sio bei yake
Naunga mkono, ni kama zile za chura ila updated version. Kwani ni automatic car!?., yaani inajiendesha yenyewe!?. 100m kwa Hilo gari, mmmh!! LabdaKwanza kagari kenyewe kabayaa, kwa mbele kanataka kufanana na tule tu volkswagen beetle tulitokuwa tunatuita gongo chura, ila uliza bei yake sasa utachanganyikiwa
Uingereza zipo na ni right hand drive.Steering wheel upande wa kushoto Ina maana Tesla hawana taarifa Kuna nchi tunatumia upande wa kushoto