Tetema ilianza na MK14 sio huyu wa juzi anayeiga

Wakati wanapigwa kwa penalt kule sauzi yule mchezaji shoo wao wakikongo alikuwa anatetema! Nilimuonea huruma"
 
Habari ziwafikie jamaa wa madimbwini, na alitetema hata alipowafunga vyura dk ya 71 TPL 2018/19 pale kwa mkapa.

Povu ruksa.
Punguza hofu mkuu. Tutamuambia Mayele hiyo Jumamosi asiteteme kabisa, hata kama atafunga goli zaidi ya moja.
 
Tetema ilianza kitambo mno mtu ukipigwa na baridi ya kutosha lazima uteteme,ukifumaniwa tetema inahusika
 
Henock Inonga aliwa enjoy wenzake baada ya kukosa penati eti akaanza kutetema kama Mayele [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Weka video kama kweli ... Kwanza Huyu kagere na uzee wote ataweza kweli kuteta kama kijana Mayele...???? Hata kama kipindi hicho, Huyu Kagere amekuja Simba Akiwa ni Mzee na Sasa ndo kazidi kuzeeka
 
Weka video kama kweli ... Kwanza Huyu kagere na uzee wote ataweza kweli kuteta kama kijana Mayele...???? Hata kama kipindi hicho, Huyu Kagere amekuja Simba Akiwa ni Mzee na Sasa ndo kazidi kuzeeka
Kindoki akiwa Sub na golini alikaa Kabwili na pasi ilidibuliwa na Captain JB Rafael ninachokumbuka tu ile ndoo Kabwili alibadilishiwa upande na mtangazaji badala ya kusema goooooooo yeye akasema Kabwiliiiiiiiiiiiiiiiiii. Head maridhawa inaenda kulia huko Ramadhani Kabwili amesimama kimshazari na Kindoki analalama kwa kuona kijana karuhusu goli jepesi sana. Oh anatetema shika chini tetema oh mama tetema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…