Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Habari ziwafikie jamaa wa madimbwini, na alitetema hata alipowafunga vyura dk ya 71 TPL 2018/19 pale kwa mkapa.
Povu ruksa.
Povu ruksa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanataka kusema Mayele kaiga kwa yule ajuza? alimuonea wapi?Kwani unateseka? mbona una muhaho pro max na muweweseko plain
HATA MIMI NAJIULIZAWanataka kusema Mayele kaiga kwa yule ajuza? alimuonea wapi?
Tuwekee video tuone akitetemaHabari ziwafikie jamaa wa madimbwini, na alitetema hata alipowafunga vyura dk ya 71 TPL 2018/19 pale kwa mkapa.
Povu ruksa.
Hapana ilianzia kwenye majeneretahapana ilianza kwa mondi na vanny boy.
Punguza hofu mkuu. Tutamuambia Mayele hiyo Jumamosi asiteteme kabisa, hata kama atafunga goli zaidi ya moja.Habari ziwafikie jamaa wa madimbwini, na alitetema hata alipowafunga vyura dk ya 71 TPL 2018/19 pale kwa mkapa.
Povu ruksa.
Kwani Aliyemkataza kutetema nani?Habari ziwafikie jamaa wa madimbwini, na alitetema hata alipowafunga vyura dk ya 71 TPL 2018/19 pale kwa mkapa.
Povu ruksa.
wewe rudi toilet kwanza,arafu uje humu Tena[emoji57][emoji57]Habari ziwafikie jamaa wa madimbwini, na alitetema hata alipowafunga vyura dk ya 71 TPL 2018/19 pale kwa mkapa.
Povu ruksa.
Hapana ilianza kwenye matrektaHapana ilianzia kwenye majenereta
Kindoki akiwa Sub na golini alikaa Kabwili na pasi ilidibuliwa na Captain JB Rafael ninachokumbuka tu ile ndoo Kabwili alibadilishiwa upande na mtangazaji badala ya kusema goooooooo yeye akasema Kabwiliiiiiiiiiiiiiiiiii. Head maridhawa inaenda kulia huko Ramadhani Kabwili amesimama kimshazari na Kindoki analalama kwa kuona kijana karuhusu goli jepesi sana. Oh anatetema shika chini tetema oh mama tetema.Weka video kama kweli ... Kwanza Huyu kagere na uzee wote ataweza kweli kuteta kama kijana Mayele...???? Hata kama kipindi hicho, Huyu Kagere amekuja Simba Akiwa ni Mzee na Sasa ndo kazidi kuzeeka