Umepigwa marufuku kupigwa maeneo ambayo ya wazi na yenye muingiliano na watoto lakin Clubs, Bar na kwenye sherehe ambazo hakuna Watoto Ruzuku!
Aliekuwa Jaji Mkuu wa Kenya yule Mvaa kihereni tayari ame post katika Account yake ya Tweeter kumtetea Diamond na kuponda uamuzi huo wa kumfungia
Rekodi mbili?? Imeelezwa moja??..
Imeandikwa kama ya magazeti na vi-account vya Youtube.
Unakuta kichwa cha habari.
Waziri abaka mchana kweupe
Kumbe mtu anaitwa waziri.
Ahaaaah kwani tetema ni nyimbo ya diamond au rayvanny?mbona mnamuandama icon wetu eboooh.Rekodi mbili za Diamond mojawspo "tetema" zimepigwa marufuku nchini Kenya.
Serikali ya Kenya imeziita rekodi hizo kuwa pornography.
Habari hii iko BBC jioni ya leo.
Tukumbuke hata Tanzania kuna rekodi za Diamond zilipigwa marufuku.
My Take:
Diamond inabidi aelewe ustaarabu na global reach ya muziki.
Kuna siku narudi bongo toka Dubai na kupenda kusikiliza miziki ya Afrika kwenye ndege ya Emirates music channel.
Mziki wa Diamond ukawa na listening warning, kuwa mziki huo una porno insinuation na si suitable for the underaged.
Na Diamond aelewe kuwa dunia si Tandale.
Pamoja na BailaMi namkubali Sana diamond, Nyimbo kama nikimuona, make me sing, nitampata wap, nasema nawe, my number one, nana, moyo wangu, nitarejea,mbagala , I miss you, lala salama, ni nyimbo ambazo napenda Sana kuzisikiliza Ila now days mwana amekuwa akiweka matusi Hadi aibu , yaan Kwa miaka miwili iliyopita wimbo ambao huwa naskiliza ni I miss you bas, zingine daah hapana,
Unamkumbuka marehemu amabye akuwahi kuoa ahaaaah utakua mwendawazimu.Kila siku zinavyozidikwenda namkumbuka Ruge. RIP
kipi mkuu?,Kuna vitabu vinaporn ila havipigwi marufuku.
Dunia ngumu sana hii
Inama Basi nipachike rungu....Harmonize wanyooshe
Ongezea na Wapoloo (Bwana mkunaji limemkuta pele) na free ya Nyashinski (Hii ndio kuna tusi la wazi,tena bonge la tusi).nitawaelewa wakenya kuwa wapo serious km wataifungia na lamba nyonyo ya willy paul
ova
Kumkumbuka marehemu kwa kigezo cha kuoa ni uwendawazimu mwingine tupo wendawazim wawili mpaka sasa tunajibizanaUnamkumbuka marehemu amabye akuwahi kuoa ahaaaah utakua mwendawazimu.
Tatzo ushabiki smtimz unampagawisha na kufanya vituko tuuu bila kujua yy ni kioo cha jamiiiRekodi mbili za Diamond mojawspo "tetema" zimepigwa marufuku nchini Kenya.