Tetema yafungiwa Kenya

Tetema yafungiwa Kenya

Umepigwa marufuku kupigwa maeneo ambayo ya wazi na yenye muingiliano na watoto lakin Clubs, Bar na kwenye sherehe ambazo hakuna Watoto Ruzuku!

Aliekuwa Jaji Mkuu wa Kenya yule Mvaa kihereni tayari ame post katika Account yake ya Tweeter kumtetea Diamond na kuponda uamuzi huo wa kumfungia
 
Mi namkubali Sana diamond, Nyimbo kama nikimuona, make me sing, nitampata wap, nasema nawe, my number one, nana, moyo wangu, nitarejea,mbagala , I miss you, lala salama, ni nyimbo ambazo napenda Sana kuzisikiliza Ila now days mwana amekuwa akiweka matusi Hadi aibu , yaan Kwa miaka miwili iliyopita wimbo ambao huwa naskiliza ni I miss you bas, zingine daah hapana,
 
Kule YouTube kuna wapuuzi wanazingua sana Aisee
Rekodi mbili?? Imeelezwa moja??..

Imeandikwa kama ya magazeti na vi-account vya Youtube.

Unakuta kichwa cha habari.

Waziri abaka mchana kweupe
Kumbe mtu anaitwa waziri.
 
Rekodi mbili za Diamond mojawspo "tetema" zimepigwa marufuku nchini Kenya.
Serikali ya Kenya imeziita rekodi hizo kuwa pornography.
Habari hii iko BBC jioni ya leo.

Tukumbuke hata Tanzania kuna rekodi za Diamond zilipigwa marufuku.

My Take:
Diamond inabidi aelewe ustaarabu na global reach ya muziki.
Kuna siku narudi bongo toka Dubai na kupenda kusikiliza miziki ya Afrika kwenye ndege ya Emirates music channel.
Mziki wa Diamond ukawa na listening warning, kuwa mziki huo una porno insinuation na si suitable for the underaged.

Na Diamond aelewe kuwa dunia si Tandale.
Ahaaaah kwani tetema ni nyimbo ya diamond au rayvanny?mbona mnamuandama icon wetu eboooh.
 
Mi namkubali Sana diamond, Nyimbo kama nikimuona, make me sing, nitampata wap, nasema nawe, my number one, nana, moyo wangu, nitarejea,mbagala , I miss you, lala salama, ni nyimbo ambazo napenda Sana kuzisikiliza Ila now days mwana amekuwa akiweka matusi Hadi aibu , yaan Kwa miaka miwili iliyopita wimbo ambao huwa naskiliza ni I miss you bas, zingine daah hapana,
Pamoja na Baila
 
nitawaelewa wakenya kuwa wapo serious km wataifungia na lamba nyonyo ya willy paul
ova
 
Hao wakenya mafala tu.....kwanza mziki hawana wamejaa wivu tu
Hizo pornographic content kwenye tetema zipo wapi?

Mifala fulan tu Mikenya
 
Wakenya na asili yao

Pole kwa mwenye tetemeko lake
 
Watu wanaongea kwa unafki wa kiwango kikubwa sana.

Kama nyimbo ya Tetema ipo kinyume na maadili imefikishaje viewers wengi zaidi kushinda nyimbo nyingine zote africa mwaka 2019?

Kwanini hao watu hawajaenda kuangalia nyimbo Kama Chibonge ambayo mnaona haina shida!!

Nyimbo imetoka February , inakuja kufungiwa August... hii inaingia akilini kweli kwa mtu mwenye akili timamu !!! Hawa watu zaidi ya miezi Sita walikuwa wapi wakati nyimbo inapigwa kila chochoro huko kenya ?

Kati ya Tetema na Lamba Nyonyo wa Wil Paul upi upo kinyume na maadili!!

N.B Tetema sio nyimbo ya Diamond ila amekuwa featured na Rayvanny .

Kumbukeni mwaka Mwaka jana wakati wasafi festival inafanyika Kenya, baadhi yao walichukia sana hadi wakaja na hashtag ya #playKEmusic , na mwaka huu nyimbo ya Tz iliyotamba zaidi Kenya na Africa kwa ujumla ni Tetema, usishangae figisu zikianza Mapema hii
 
Rekodi mbili za Diamond mojawspo "tetema" zimepigwa marufuku nchini Kenya.
Serikali ya Kenya imeziita rekodi hizo kuwa pornography.
Habari hii iko BBC jioni ya leo.

Tukumbuke hata Tanzania kuna rekodi za Diamond zilipigwa marufuku.

My Take:
Diamond inabidi aelewe ustaarabu na global reach ya muziki.
Kuna siku narudi bongo toka Dubai na kupenda kusikiliza miziki ya Afrika kwenye ndege ya Emirates music channel.
Mziki wa Diamond ukawa na listening warning, kuwa mziki huo una porno insinuation na si suitable for the underaged.

Na Diamond aelewe kuwa dunia si Tandale.
Tatzo ushabiki smtimz unampagawisha na kufanya vituko tuuu bila kujua yy ni kioo cha jamiii
 
Wakenya wanaupa promo wimbo, hii nadhani wamefanya bila ya kujua ya kuwa ni promo.
Check You Tube after one week, hapa imesababisha hata ambaye hajauona/hajausikiliza azame YouTube out of curiosity na wengine kupata uhakiki kama hizo lyrics zina contents za porno.
BBC nao wameshiriki kwenye hiyo promo but the crazy part of the whole shit huo wimbo si wa Diamond bali ni wa Rayvvany, getting the facts right ilitakiwa kiwe ni kitu cha kwanza.
 
Wanamuziki wanaojielewa huwa wanatoa version nyingi inategemea anapeleka wapi....Kwa mfano msanii anaweza akashoot hata video 4,moja ikawa BET Version,Nyingine MVT Version,Promo Version(Clean) na Dirty Version akaziachia katika sehemu husika ila hawa wasanii wetu wasiojielewa anatengeneza video Dirty kisha anataka ipigwe EATV au TBC.
 
Sikujua kama Tetema ni wimbo wa Diamond
 
Back
Top Bottom