Tetema yafungiwa Kenya

Hivi ni mimi sijui mambo ya mjini au? Mi nilidhani Tetema ni wimbo wa Rayvanny kumbe sivyo[emoji848]
 
Mm nasoma comments tu hapa, maana team matusi na roho mbaya ni hatari sn
 
Muziki wa Rick Ross, Chris brown, Drake, Nick minaj, Rihanna hauna parental guidance?
 
Rekodi mbili?? Imeelezwa moja??..

Imeandikwa kama ya magazeti na vi-account vya Youtube.

Unakuta kichwa cha habari.

Waziri abaka mchana kweupe
Kumbe mtu anaitwa waziri.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] umenikumbusha mbali sana habar za udaku kwenye gazeti la uwazi walikuwa na kauli tata sana.
"Apigwa azimia kwa mmama"
"Afande sele kizimbani kwa kubaka"
Halaf ukisoma habar mwishoni wanakanusha kwamba Apigwa-ni jina la mtu,Azimia-maana yake amempenda
Mmama-maana yake ni shangingi au sugarmummy.
 
aTanzania tungekuwa makini kama kenya nyimbo nyingi za bongo flavour zimefungiwa maana wasanii wa wa sasa hawana cha kutunga zaidi ya matusi ya nguoni tu
Nadhani wanaopaswa kuzifungia njaa zitawaua so ni heri wafunike kombe mwanaharamu apite.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…