Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walambez pia ni wimbo wa Tanzania?Wenzetu Kenya wana roho korosho
Muziki wa Rick Ross, Chris brown, Drake, Nick minaj, Rihanna hauna parental guidance?Hivyo vitabu vinasomwa kwenye Radio ya Jamii na kuonyeshwa kweenye public TV ?
Dogo na wenzake wa aina yake wabadilike.., nadhani hakuna kipindi ambacho Tanzania wanamuziki wengi wana talent sana, melody nzuri.., vionjo vya kupendeza ila maudhui sio ya kistaarabu.., sidhani kama kubadilisha maudhui ya nyimbo zao kutapoza uzuri.., kwanza ndio miziki yao itadumu zaidi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] umenikumbusha mbali sana habar za udaku kwenye gazeti la uwazi walikuwa na kauli tata sana.Rekodi mbili?? Imeelezwa moja??..
Imeandikwa kama ya magazeti na vi-account vya Youtube.
Unakuta kichwa cha habari.
Waziri abaka mchana kweupe
Kumbe mtu anaitwa waziri.
Go to sleep eboooooh akwende uko mnyonyaji mkubwa.Kumkumbuka marehemu kwa kigezo cha kuoa ni uwendawazimu mwingine tupo wendawazim wawili mpaka sasa tunajibizana
Nadhani wanaopaswa kuzifungia njaa zitawaua so ni heri wafunike kombe mwanaharamu apite.aTanzania tungekuwa makini kama kenya nyimbo nyingi za bongo flavour zimefungiwa maana wasanii wa wa sasa hawana cha kutunga zaidi ya matusi ya nguoni tu
Itakua nimekosea jukwaa hili sio hawa watu sijawaonaga humuGo to sleep eboooooh akwende uko mnyonyaji mkubwa.
Kalale kijana mdogoItakua nimekosea jukwaa hili sio hawa watu sijawaonaga humu