Tetemeko la Ardhi Arusha

tzhosts

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2016
Posts
403
Reaction score
510
Mida ya saa 1:11pm(19:11) Nimeexperience tetemeko la ardhi lilodumu kwa sekune 3-4.Je kuna mwingine aliyesikiia hasa katika Mkoa wa Arusha.Au ni huyu Jirani yangu ameanza mambo yake?
 
AAAAAAAH.... ni kweli bana! nkiwa ndani nikahis kuna mtu amekula cha ARACHUGA na akafungua MZIKI KWA SAUTI YA JUU (kama spika kubwa kwa wadau wa CLUB) ila akaizima ghafla........
 
Tetemeko la kiuchumi limekuwa kubwa mno! watu hawafikirii tena tetemeko la ardhi siku hizi, tangu kutokea kwa dhulma ya wale wenzetu wa kagera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…