Mida ya saa 1:11pm(19:11) Nimeexperience tetemeko la ardhi lilodumu kwa sekune 3-4.Je kuna mwingine aliyesikiia hasa katika Mkoa wa Arusha.Au ni huyu Jirani yangu ameanza mambo yake?
AAAAAAAH.... ni kweli bana! nkiwa ndani nikahis kuna mtu amekula cha ARACHUGA na akafungua MZIKI KWA SAUTI YA JUU (kama spika kubwa kwa wadau wa CLUB) ila akaizima ghafla........
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.