Tetemeko la Ardhi Kintinku

Tetemeko la Ardhi Kintinku

We Mnyalukolo, Mbukwenyi . Nilitegemea hao jamaa wa Kintinku wataleta taarifa zaidi lakini hadi sasa hawajaleta. Nadhani kuna tatizo la mtandao ndo maana hatujapata mrejesho. Asante.
Hahahaaa. Wameishia kunywa kimpumu na kusahau hilo tukio.

Siku nyingine usiwe fasta (kama....la kwanza) kuleta taarifa humu kama huna "details" zake.
 
Back
Top Bottom