Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Hii ni Earthquake ya tatu ndani ya hii wiki bila shaka. Mbili zimetokea Istanbul na Izmir.Watu 14 wafariki katika tetemeko la ardhi katika eneo la Mashariki mwa Uturuki.
Tetemeko la ardhi ambalo lilikuwa na ukubwa wa 6.7 katika kipimo cha Richter limetokea Elaziğ na kusababisha vifo vya watu 14 na kuwajeruhi watu wengine zaidi ya 300.
Tetemeko hilo limetokea majira ya saa mbili.
Taarifa iliotolewa na shirika ambalo ambalo linahusika na kutoa huduma ya kwanza katika matukio ya dharura AFAD imefahamisha kuwa ni watu 14 ambao wamefariki huku ikihofiwa idadi hiyo kuongezeka.
pole kwa wafiwa na tunaomba wahusika wote wa tukio hilo wachukuliwe hatua za k'sheria ili iwe fundisho kwa wengineWatu 14 wafariki katika tetemeko la ardhi katika eneo la Mashariki mwa Uturuki.
Tetemeko la ardhi ambalo lilikuwa na ukubwa wa 6.7 katika kipimo cha Richter limetokea Elaziğ na kusababisha vifo vya watu 14 na kuwajeruhi watu wengine zaidi ya 300.
Tetemeko hilo limetokea majira ya saa mbili.
Taarifa iliotolewa na shirika ambalo ambalo linahusika na kutoa huduma ya kwanza katika matukio ya dharura AFAD imefahamisha kuwa ni watu 14 ambao wamefariki huku ikihofiwa idadi hiyo kuongezeka.
Bange sio soda ...pole kwa wafiwa na tunaomba wahusika wote wa tukio hilo wachukuliwe hatua za k'sheria ili iwe fundisho kwa wengine
Aaaa ndo nini sasapole kwa wafiwa na tunaomba wahusika wote wa tukio hilo wachukuliwe hatua za k'sheria ili iwe fundisho kwa wengine