Tetemeko la ardhi latokea Dodoma, Singida

Tetemeko la ardhi latokea Dodoma, Singida

Leo day 5 /08 /2023 saa 1:06 usiku nimelisikia tetemeko la kutosha hapa kigoma [emoji20] immediately baada ya sekunde 60 nikaona update kutoka EMSC - European-Mediterranean Seismological Centre limepita tetemeko lenye ukubwa wa 4.9 wenzetu wako smart kwenye mambo ya Seismological Centre
Screenshot_20230805-015234_Edge.jpg
Screenshot_20230805-015212_Edge_1.jpg
 
Mambo ya expansion joint
Ni tofauti sana na MAJEURE CASE.

hiki ni kipengele tunawekaga pale ambapo umewa ukomo wa kukabidhi kazi, unaandika kile kipengele labda yakitokea majanga ya asili ndio inaweza kuwa nafuu yako au ule muda wa mradi kuwa chini ya uangalizi labda miezi 6 au mwaka pasitokee uharibifu isipokuwa majanga ya ASILI..
Hyayo majanga ya asili ndio ( MAJEURE CASE)
 
Sawa bwashee
 
Back
Top Bottom