Tetemeko la ardhi limetokea Katavi na Mpanda

Tetemeko la ardhi limetokea Katavi na Mpanda

Supu ya kokoto

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
4,194
Reaction score
7,602
Tetemeko LA ardhi limeutikisa mji wa Mpanda,katavi muda huu.
Tupate taarifa zaidi please.

=====

Tetemeko hilo lenye ukubwa wa 4.6 katika vipimo vya Ritcher, limeyakumba maeneo ya Katavi na Mpanda.

Bado madhara ya Tetemeko hilo hayajafahamiaka.
Screenshot_20220218-233243.png

Screenshot_20220219-000032.png
 
Inasemekana Kuna mikoa imetetemeshwa mara mbili ndani ya masaa mawili, hivi Kuna Ukweli juu ya hili!
Vipi usalama huko😳!?
 
Nami nimehisi kitu kama hicho Njombe mji japo hakikuwa na nguvu kubwa lakini ilipita kama saa 19pm au 20pm hivi
 
Limejaribu kutikisika.
Aaaah Kumbe hua linatetemesha Ardhi.
 
Yale ma bwenyenye ya kule dodoma, GST wamelala hata hawajui nini kimetokea, wamrekani kupitia ‘GST’ yao ndiyo wanakuwa wa kwanza kutoa taarifa kuwa kuna tetemeko limetokea mpanda
 
mtu katoka nje amebeba nyau akijua amebeba mtoto, achana na hilo tetemeko kabisa
 
Limepita apa mpanda nilikua bar digital apa bia yangu nimemwagiza. Lilivokuja mara ya pili limekuta nimelala
 
Back
Top Bottom