Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,194
- 7,602
19pm au 20pm [emoji848]Nami nimehisi kitu kama hicho Njombe mji japo hakikuwa na nguvu kubwa lakini ilipita kama saa 19pm au 20pm hivi
Kwani ni 'am' hizo?!!!19pm au 20pm [emoji848]
Hio format ya muda haina haja ya kuweka am au pm hizo zinatumika kwenye mfumo wa kusoma muda kwa masaa 12,, ukitumia mfumo wa masaa 24 inajitosheleza bila am au pmKwani ni 'am' hizo?!!!
aiseesaa 19pm au 20pm
Shukrani!!Hio format ya muda haina haja ya kuweka am au pm hizo zinatumika kwenye mfumo wa kusoma muda kwa masaa 12,, ukitumia mfumo wa masaa 24 inajitosheleza bila am au pm
Poleni Mkuu hapo The Digital mtaa wa simba na Mtaa wa fisi bila kusahau kule KICHANGANILimepita kubwa mno karibu Mara tatu ...