connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,842
- 3,922
1. Wenzetu Thailand na Mynamar wamepata na tetemeko lenye ukubwa wa 7.7 (kwenye Richter scale). Nafikiria tetemeko hili lingetokea Tanganyika Hali ingekuaje?
Picha lingeanza kwa msafara wa Mawaziri na ma-V8 yao kujaa kwenye tukio, pameandaliwa jukwaa/tent,bendera za CCM, viti, meza, maua na vipaza sauti
2. Tupo bize kufuturisha watu, kuna magoli, Magari ya kifahari na safari za nje ya nchi zisizo na tija badala ya hiyo pesa kuwekeza kwenye miundombinu/vifaa kwa ajili ya huduma kwa wananchi. Siku tukipata janga kubwa kama hili nadhani Hata huo uchaguzi sijui reform hatitakua nao.