1. Wenzetu Thailand na Mynamar wamepata na tetemeko lenye ukubwa wa 7.7 (kwenye Richter scale). Nafikiria tetemeko hili lingetokea Tanganyika Hali ingekuaje?
Picha lingeanza kwa msafara wa Mawaziri na ma-V8 yao kujaa kwenye tukio
2. Tupo bize kufuturisha watu, kuna magoli, Magari ya kifahari na safari za nje ya nchi zisizo na tija badala ya hiyo pesa kuwekeza kwenye miundombinu/vifaa kwa ajili ya huduma kwa wananchi. Siku tukipata janga kubwa kama hili nadhani Hata huo uchaguzi sijui reform hatitakua nao.