connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,842
- 3,922
Huko Thailand wanazidi dhambi sana. Acha mungu awakumbushe umuhimu wake.1. Wenzetu Thailand na Mynamar wamepata na tetemeko lenye ukubwa wa 7.7 (kwenyena Richter scale). Nafikiria tetemeko hili lingetokea Tanganyika Hali ingekuaje?
2. Tupo bize kufuturisha watu, kuna magoli, Magari ya kifahari na safari za nje ya nchi zisizo na tija badala ya hiyo pesa kuwekeza kwenye miundombinu/vifaa kwa ajili ya huduma kwa wananchi. Siku tukipata janga kubwa kama hili nadhani Hata huo uchaguzi sijui reform hatitakua nao.
Lady boys?Huko Thailand wanazidi dhambi sana. Acha mungu awakumbushe umuhimu wake.
We Google uijue Thailand vizuri. Kiufupi ni mji wa NgonoLady boys?
Yatakuja tu...Idara zetu za uokozi hazina uwezo na vifaa vya uokoaji zipo nyuma sana kiteknolojia. Tuombe majanga yasitokee
tuna kanda za kupigwa na matetemeko japo si makubwa kama ya huko asia na kaskazini mwa afrika. Tuna mafuriko na ukame pamoja na vitisho vya vimbungaYatakuja tu...
Mungu tena amehusikaje hapo?Babu Mungu anaangalia na kuwapa watu majanga kwa kipimo cha uwezo wao.
Sio tetemeko tu,kipindi kile cha Corona ndio nilijua utofauti wa Mafuriko na vimbunga marekani na huku Tanzania.
Jikumbushe ile ya Bukoba(Kagera) kiongozi anakwambia yeye sio Mungu kuleta tetemeko.
Mpaka leo kuna Kipindupindu Mbeya,takriba mwezi wa nne sasa..japo si kwa kasi ile ila bado kipo.Jiulize sasa..
Soma line ya kwanza hapo ,nimeandika Ki africa zaidi,kuwa Mungu humpa mtu janga analoweza kupigana nalo.Mungu tena amehusikaje hapo?
Acha kudanganya,unless hujui kuhusu nguvu ya asili wewe,Huko Thailand wanazidi dhambi sana. Acha mungu awakumbushe umuhimu wake.
Zote zingepiga chini, baadae pongez ziende kwa yule mtuHizi nyumba zza Kariakoo zingehimili kweli ule mtikisiko?
Waafrika tunarahisisha mnoAcha kudanganya,unless hujui kuhusu nguvu ya asili wewe,
Kwani ile ya kko ilikuwaje1. Wenzetu Thailand na Mynamar wamepata na tetemeko lenye ukubwa wa 7.7 (kwenye Richter scale). Nafikiria tetemeko hili lingetokea Tanganyika Hali ingekuaje?
Picha lingeanza kwa msafara wa Mawaziri na ma-V8 yao kujaa kwenye tukio
2. Tupo bize kufuturisha watu, kuna magoli, Magari ya kifahari na safari za nje ya nchi zisizo na tija badala ya hiyo pesa kuwekeza kwenye miundombinu/vifaa kwa ajili ya huduma kwa wananchi. Siku tukipata janga kubwa kama hili nadhani Hata huo uchaguzi sijui reform hatitakua nao.
1. Wenzetu Thailand na Mynamar wamepata na tetemeko lenye ukubwa wa 7.7 (kwenye Richter scale). Nafikiria tetemeko hili lingetokea Tanganyika Hali ingekuaje?