Tetemeko Thailand/Myanmar lingetokea Tanganyika sijui Hali ingekuaje

Yale maghorofa pale Posta yaliyojengwa baharin yangeakua matope as we speak
 
Afu kuna wajinga wanakuja na wazo la kugawa majimbo ya uchaguzi,ila hz nchi za afrika ni za wajinga
 
tuna kanda za kupigwa na matetemeko japo si makubwa kama ya huko asia na kaskazini mwa afrika. Tuna mafuriko na ukame pamoja na vitisho vya vimbunga
Tuliyonayo ya ufisadi, umaskini,ujinga, uchawa na mengne mengi yanatutosha kwa sasa tukiongezewa na ya asili hali itakuwa mbaya sana.....
 
Janga tulilopewa sisi watanzania ni CCM, hilo ni janga tosha tukipewa lingine hatutahimili.
 
Huku kwetu acha tuendelee kuhimizana kujenga vyoo kwa Kila kaya, karne ya 21. Yasitufike na hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…