Farmers leagueAzam waachane na laliga walete ligi ya Ufaransa na germany
Laliga na Messi nani ana mmliki mwenzake?
Una akili za kitotoMessi anamiliki Laliga
Una akili za kitoto
ushajua kidogo kifaransa?Wao wapandishe tu sisi tuko na Canal+ [emoji2211][emoji2211] ligi zote unafurahia.
ushajua kidogo kifaransa?
AfadhaliKumekuwa na uvumi kuwa kampuni ya Azam Tv wameamua kutokuongeza tena mkataba wake wa kuonyesha ligi kuu ya Uhispania, maarufu kama La Liga. Hivyo kufanya chaneli yao ya Azam Sports HD iliyokuwa ikitumika kurusha matangazo ya mechi za Laliga kujikita zaidi kuonyesha ligi ya VPL.
Inadaiwa hasara imekuwa kubwa, matangazo wanayanunua kwa bei kubwa sana, huku wakiuza kwa bei rahisi kwa wateja wao.
Hizi bado ni fununu hazijathibitishwa, ila ikiwa ni kweli, nawaona Dstv wakizidi kutunyonya kwani lazma watapandisha chaneli yao ya michezo ya Laliga kwenye vifurushi vya juu!
Ngoja tuone Azamtv wakithibitisha ukweli wa tetesi hizi!
[emoji23][emoji23][emoji23]Farmers league
Unajua hela ya kulipia EPL wewe?Wakiweza kupata haki ya matangazo epl itapendeza Sana. Laliga siyo dili
Washindwe na laliga kwenye Bei CheeWahamie EPL mazima hawatajuta na watakuja kunishukuru baada ya msimu mmoja tu ila wasipandishe bei ya vifurushi
$ 250m kwa EPL pekee na £ 100m kwa UCL pekeeNi kiasi gani, na dstv wanalipa kiasi gani?
[emoji16][emoji16]Poa mzee kula burudani ya soka[emoji23][emoji23]kifarasa tunaendanacho hivyo hivyo.
EPL pale n mawe hatariHiyo la liga tu wapate hasara, ndio wathubutu kwenye epl?!!! Kwa hivi vifurushi vya 18,000-28,000?!!kwanza hiyo haki tu kuipata ni balaa!! Kama unakumbuka kampuni ya G-TV, walikuwa wana bei ya 46,000,mbona hata msimu haukuisha wakachemka,??? Sio rahisi ki hivyo.
575,000,000,000Mkuu Weka kwa Tsh tuelewe
Naomba muongozo mkuu naipataje nikiwa mkoaniWao wapandishe tu sisi tuko na Canal+ [emoji2211][emoji2211] ligi zote unafurahia.
Sina haja ya kuuliza huo upuuzi yaani Messi ni mkubwa kuliko Laliga? Stupid hoIt's bigger than your brain, ungeuliza ungepewa ufafanuzi.
Star times kashinda kwa lugha kifaransaStartimes ndio wameshinda kwa ukanda huu?
Naomba muongozo mkuu naipataje nikiwa mkoani