The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Mr. Zero, Bearing in mind JF's motto of daring to talk openly , would you please give your reasons? Thank you !
Peinkiller,
Story kama hizi zinatupotezea sana muda. Unajuwa watu vilevieli tuna kazi zetu. Sasa kama mtu anakuja na udaku kama huu kwa kusingizia kuwa ni breaking news, personally inanisikitisha sana. So far nimepoteza time kufatilia hii issue then nimepoteza pesa kupiga simu kujaribu kuverify kumbe jamaa uko poa tuu. Mtu kama huyu naye ni FISADI kwa upande fulani. Ingawa Invisible anafurahia sasa lakini hajui itaaffect kiasi gani credibility ya JF in future. Akina Shy wako wengi humu wanajaribu kuiuwa kinamnanamna!!!!!!!