Tetesi : CHENGE ANYWA SUMU??!

Status
Not open for further replies.
Mr. Zero, Bearing in mind JF's motto of daring to talk openly , would you please give your reasons? Thank you !

Peinkiller,

Story kama hizi zinatupotezea sana muda. Unajuwa watu vilevieli tuna kazi zetu. Sasa kama mtu anakuja na udaku kama huu kwa kusingizia kuwa ni breaking news, personally inanisikitisha sana. So far nimepoteza time kufatilia hii issue then nimepoteza pesa kupiga simu kujaribu kuverify kumbe jamaa uko poa tuu. Mtu kama huyu naye ni FISADI kwa upande fulani. Ingawa Invisible anafurahia sasa lakini hajui itaaffect kiasi gani credibility ya JF in future. Akina Shy wako wengi humu wanajaribu kuiuwa kinamnanamna!!!!!!!
 


Tumekupata mkuu!
Hakuna ulichoacha!
 
FD si ndio yule yule Shy aka shy@usalama.go.tz. anajaribu kutuzuga kwa kujifagilia. Huyu jamaa ana majina meng kwenye JF. Msitukieni

Chenge afe asife sisi tunataka fedha zetu arudishe pamoja na zile za TanGold.

Mzee, SHY ana majina mengi sana, kinachonishangaza ni kujitaja jina lake halisi kwenye kila post huku akitumia Pen name ku register. Kwanini asiwe kama Kitila Mkumbo tu? Yaani jina lake halisi.

Umaarufu jamani, ni dogo tu inawezekana kuwa ni utoto. Msamehemi bure au someni links alizotoa SteveD hapo juu
 
Tangia jana usiku nimekuwa nahaha kuwatafutia habari hizi lakini sijapata ukweli .Uvumi ni kwamba Vijisent Chenge amekula sumu na ana hali mbaya .Kuna mtu kanipigia simu tena muda huu anasema Chenge kafa mimi nimekataa na sasa nimekimbilia hapa kuuliza .Je kuna mwenye ukweli jamani wa tukio hili ?
 

Kweli kabisa,

Shy sio mfanyakazi wa usalama wa taifa ila ni mtu anayejikombakomba kwa polisi kwa kujifanya kuwa anawajua memba wa JF.

Achaneni naye huyo anataka attention tu.
 
Lunyungu,

Hii issue imeondolewa hapa sasa hivi kwa vile ni ya uongo. Visit Issa Michuzi blog utaona ukweli. Jamaa bado mzima adunda na vijisenti vyake. Hilo dua lako la kuku mzee!!!!!!
 

angalia kwenye link hiyo hapo chini:

http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=12799
 
jamani msimbishie Lunyungu,mi mwenyewe hizi taarrifa za Bilionea wetu kula sumu nimepewa ila kama kafa au bado ndo pia sina uhakika.
 
Kuna taarifa ambazo si rasimi zinaseme Mheshimiwa Chenge kajipia risasi, hebu mriopo Bongo tuhabarisheni.
 
Nilikuwa nasoma habari kwa Michuzi na akasema amewasiliana na mai waifu wake na Chenge na kwamba Chenge yu mzima. Tetesi za kwanza zilisema kuwa kanywa sumu na kufa na hii ya pili ya kujitwanga risasi sijui tushike lipi.

Ila kifupi ni kuwa familia yake inakanusha vikali kuhusu tuhuma za kujiua kwa mwakilishi wa wananchi wa jimbo lake. Na zaidi wamekuwa wakisikitika kwa kupokea simu na meseji za pole.

Wenye habari kamili watujuze!
 
Mimi nimeleta hapa kuuliza swali .Sina haja kumuombea Chenge kifo .Kifo ni adhabu na kila mmoja anaogopa kifo.Habari gizi zimetanda kila kona na ndiyo maana nimekuja hapa .Kama zilikuwepo hapa mimi sikuziona kabisa .Mnisamehee sana ndugu zanguni na again simuombei Chenge kifo maana tutakosa kujua mengi .Long live ili tujue ukweli bwana Chenge .
 

Cha muhimu nadhani ni vijisent mwenyewe kujitokeza na kuerezea umma. Inawezekana kafanya hayo mambo na famiria inaficha.
 
Kwi kwi kwi,

Naona watu wengi kweli wanataka kuona Chenge akiwa kaburini amekufa kabla ya kupelekwa kwenye moto wa Jehanum achomwe moto kwa vifo vyote vya watoto wachanga na mama wajawazito alivyosababisha hapo Tanzania.

Hili liwe ni onyo kwa mafisadi wote ndani ya ccm. Ukifanya ufisadi na kuwadhulumu watanzania, chuki yao dhidi yako inatosha tu kukuweka tumbo moto na ukaishi maisha ya wasiwasi for the rest of your life.

Just imagine how many pple want this guy dead!
 


nini kinakushangaza kwani??? japan viongozi ukifanya Sooo unajiauzulu and then unajtwanga risasi,hiyo assignments tunakupa wewe ututafutie hizo news and then njoo hapa JF utwambie ukweli.full STOP.
 

hiri rijamaa vijisent rinatakiwa rijitokeze relenyewe rijiereze. Labda nimejiripua kweri, au ni njama za kutaka kumpoteza ili kuua ushahidi.
 

Mimi pia ningefurahi jamaa aingie jehanam as soon as possible...
 
wacha sasa ningoje na huku naingia mitini kujua mengi.Mohamed statemet yako sijaipenda sana .
 
Duh! hii sasa kali...
Lakini sio freshi kwa wanaovumisha uzushi huu...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…