Tetesi : CHENGE ANYWA SUMU??!

Status
Not open for further replies.

Fausta,

Nilikwishasoma maandiko matakatifu siku nyingi sana mpaka nikawa na idea ya kuishi Cyber Village baada ya kuona siwezi kuingia katika mfumo.

Pili wewe hunifahamu mimi kama ni mtu wa aina gani lakini nakuhakikishia kwamba mimi ni mtu mwenye heshima zangu na ninaheshimiwa kwa ujuzi na maarifa yangu na kipato huku Cyber Village hakinipigi chenga, kwani ninakipata kihalali kwa utaalam wangu. Usione nimesema occupation hio ukadhani ninakudhihaki.

Nikutanie kidogo, siku moja nilijiuliza hivi huku Cyber Village siwezi kuokota hata senti ishirini tu? Lakini ukifanza kazi kwa bidii basi unakuwa "rewarded".

Lakini hawa watu achana nao kabisa wameendelea na nina wazo la kuwashauri wana JF wote tujenge Cyber Village yetu Tanzania na iwe na kila kitu tunachohitaji.

Mimi napenda majadiliano yenye kujenga na sio kubomoa, wewe hupangi hoja unakuja nazo zikiwa hazijakamilika, lakini karibu hapa jamvini hiki na usije ukalidharau kabisa.

NB:

Halafu nani amekupa wazo kwamba sisi ni wawekezaji kwenye vimwana?
 
 

ni kweli, na amewatusi vibaya.yaani mi watu wengine siwaelewi kabisa.unateteaje something so open like this!! sasa watu wasome maandiko, watakula maandiko!! watu wanafanya kazi kwa bidii sana, jasho lao linaliwa na wachache anaowatetea huyo nani sjui hapo juu.
 
Mkishindwa maisha mnasingizia wengine. Komaeni watanzania

Kwa hio una mawazo kwamba wale wote waliopo hapa jamvini, wameshindwa maisha. Nani kakudanganya hivo Fausta?
 
Shida yetu ni kutotaka kufanya kazi maisha yakiwa magumu tunatafuta mchawi. poleni watanzania kama kweli hii ndio dhana. jakaya ana kazi

acha kudhihaki watu wewee!!

umasikini wa watanzania sio wa kujitakia,wameletewa..,over a long period of time.na viongozi wasiojali utu na maslahi ya taifa.

i would say an average Tanzanian is overworked.have you ever seen how much farmers,fishermen's,machingas struggle in their daily basis?you probably haven't if you don't know that,then don't ask why or how..,since you have no clue.

we are poor as a nation because of guys like you and co.you just don't feel that Tanzanians deserve a better present and future.you make life hard for people,then mnaita watu wavivu. aaaaaaagh.
 

Sina haja ya kukufahamu kwani hili si muhimu hapa. Cha muhimu ni kuangalia dunia inavyoenda ndugu yangu vinginevyo mtatafutana mchawi wakati wenzenu wanasonga mbele. Ndugu yangu mimi ni mtanzania pia ambaye kwa kile kidogo nilichokopata nimekiwekeza sahihi na ndio maana napata kichefuchefu ninapoona watu wanachonga sana na kutakia wenzao mabaya hata kudiriki kusema wamekunywa sumu. Hakuna mtu aliyezaliwa maskini bali tunauendeleza sisi ukiwa na roho ya kimaskini hata Mungu hufunga milango yako. Hebu elekezeni fikra za watanzania katika maendeleo badala ya maneno tu ambayo wala hayawasaidii.
 
 
 


Nimekuelewa,

Hata hivo hii thread ipo ndani ya NYEPESI/TETESI.

Have a nice day!
 
jamani we need him alive lazima haenda segerea huyo hata kama bp is high or kunywa sumu or kapewa lakini bado we need him mr vijisenti alive
 

You can sing that song again and again but your poverty wont go away unless you agree to change your mind set about life. Mchawi wa maisha yako ni wewe mwenyewe. Tanzanians have to accept that there is no free lunch and @ one of us has to work hard, be creative and create wealth cos we can not share poverty. we have travelled that route before ie sharing poverty and it never worked as the late Deng used to say we have to smash the communist pot and create wealth for our people and that will only happen if we have a robust middle class in tanzania.
 

Hivi mtu akiiba kweli atapeleka fedha hizo bank? Yu mzima wala hajanywa sumu mnazusha tu tuwaulize kwa nini? mnaogopa nini kusubiri majibu SFO mnakuwe nyie waendesha mashtaka, mawakali majudge na walinzi wa gereza?
 
Hivi mtu akiiba kweli atapeleka fedha hizo bank? Yu mzima wala hajanywa sumu mnazusha tu tuwaulize kwa nini? mnaogopa nini kusubiri majibu SFO mnakuwe nyie waendesha mashtaka, mawakali majudge na walinzi wa gereza?

kwa nini asipeleke bank wakati yeye ni professional na kaiba professionally. Unajua wizi wake ulipokufikisha ndio maana umekuwa mkali namna hiyo, BTW ni fisadi na ni mwizi. Hata kama hajanywa sumu lkn alichokifanya kinamsumbua nafsini mwake na hata hizo pesa za wizi hana raha nazo. Mbona Mengi ni tajiri lakini hakuna anayemsema. Kama huyo vijisent kapata pesa zake halali kwa utumishi wake serikalini miaka 30, what about kina Kawawa, Warioba et al? kwa nini na wenyewe sio matajiri?
 


Mali ambayo sio yako wala ya baba yako utaipataje kiulani hiyo? tumieni akili badala ya midomo kufikiri. Tatizo letu ni kufikiri kwa maneno badala ya akili ambayo mwenyezi mungu ametupa ili kututofautisha na wanyama
 

Na wataumbuka kweli maana chenge yu mzima na anakunywa bia yake baridi. Wanaosubiri ajiuue watangoja kama fisi anavyosubiri mkono wa binadamu. Huu ndio ufisadi wa kuwaua wenzenu kwa manufaa yenu mtajinyonga siku zi zenu mumwache chenge hai.,
 

There is no life after death. U just have to study and understand the character of the person ur talking about. Thats what most of us are missing out. U can not go to any of the IVY league institutions if ur a dumb bell
 
Na wataumbuka kweli maana chenge yu mzima na anakunywa bia yake baridi. Wanaosubiri ajiuue watangoja kama fisi anavyosubiri mkono wa binadamu. Huu ndio ufisadi wa kuwaua wenzenu kwa manufaa yenu mtajinyonga siku zi zenu mumwache chenge hai.,

Ndio maana muda mwingine namsapoti mwafrika wa kike akiwatia tumbo moto watu kama huyu. Kelele nyingi hadi wanaboa?
 
There is no life after death. U just have to study and understand the character of the person ur talking about. Thats what most of us are missing out. U can not go to any of the IVY league institutions if ur a dumb bell

Take a break dayuuum... unajaza bandwidth na utumbo...alafu swallow a chill pill shawty!!!! Hot Dayuuuum!!!!
 
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…