BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Utalaaniwa wewe unayedhani umaskini wako umeletwa na chenge. Kuhusu Bariadi nenda huko ukawaulize wananchi wake ndio wanaweza kusema mimi siwezi kuwasemea. Lakini ukweli ni kuwa umasikini wako haujaletwa na chenge lakini sisi wenye akili dumazi tusiotaka maendeleao. Yeye hakuomba madaraka bali alipewa walaumuni waliompa madaraka. Hakuomba uanasheria mkuu wala uwaziri. Alipewa kazi hizo kwa umahiri wake. Semeni yote iko siku mtakumbuka maneno haya maana hamjafanya naye kazi. Hasira za maisha yenu zinawafanya muwe wapofu.
Mods please do your job!! Hebu muondoeni huyu anayeleta balaa katika forum yetu mwanana. Matusi na JF wapi na wapi? 😕