Tetesi:-Endapo kama wewe upo fb na uliwahi kutoa maneno ya kichochezi jiandae!

Kama ni ivyo kwenye awamu hii ya uyu mama watafunga vijana nchi nzima maana vijana wanao toa comment za kutukana serikali ni zaidi ya million.

Sijui kama kuna jela ya kufunga watu wote hao.
 
kwahio? acha upumbavu wako
Ukinitukana nikakufahamu ni jinai faini mpaka 500,000/-,pia itategemea mazingira ya jinsi ulipokuwa unanitukania kama ni kwenye kadamnasi,maana yake umenitweza mbele ya umma,hapo hufika mpaka 5000,000/-mpaka 20,000,000/-
Kusema jambo likasababisha maafa kwa kauli thabiti..../
Watu wengi hawasomi sheria wanachukulia poa poa tu!
 
Yule Mwenyekiti wa Uvccm Kagera mmeshamkamata?
 
Chai
 
Hata hao ambao wamepewa ugaidi ni kwa uzito wa kifurushi chao!...
Kuwafundisha vijana kwenye somo la uraia kuwa maandamano ni haki ya kikatiba ni ugaidi!!!????

Anguko la CCM mnaliharakisha sana ninyi vilaza.
 
Acha kuogopesha watu na hizo tenzi zilizopitwa na wakati. Watu siku hizi walishapinda hawaogopi ndugu yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…