Mbona huu mzigo unaonekana mpya unatoka moshi au ni wewe mwenyewe umeudondosha
Mbona huu mzigo unaonekana mpya unatoka moshi au ni wewe mwenyewe umeudondosha
Vitisho vya kikax na kingese tuUtapelekwa mahakamani,na uchochezi wako,yaani kile ulichochochea kwa kukiandika kita wekwa mbele yako!,utakana lakini kwa nguvu ya teknolojia itakutambua,kwa tarehe,muda na sasa uliyoweka utumbo wako!,ubaoni /
#Uzito wa ulichoandika kitaelekeza aina ya kifurushi unachostahili kupewa! Kwa kosa husika!
#Amazing sweet teknologia!
Watu wanachochea kwasababu kuna moto, sasa kama hamtaki watu wachochee ondoeni au zimeni kabisa huo moto... Ili wakose cha kuchochea.Utapelekwa mahakamani,na uchochezi wako,yaani kile ulichochochea kwa kukiandika kita wekwa mbele yako!,utakana lakini kwa nguvu ya teknolojia itakutambua,kwa tarehe,muda na sasa uliyoweka utumbo wako!,ubaoni /
#Uzito wa ulichoandika kitaelekeza aina ya kifurushi unachostahili kupewa! Kwa kosa husika!
#Amazing sweet teknologia
octoba tunatiki""Hapo mwanzo palikuwa na neno,naye neno alikuwa mungu""
Msingi mkuu wa mema au mabaya ni ""NENO"" kile mtu atamkacho kutoka kinywani mwake,mfano,Tutaasi,tutakinukisha,au ""tutahakikisha uchaguzi hautafanyika""
Unatutisha?, uchochezi gani?Utapelekwa mahakamani,na uchochezi wako,yaani kile ulichochochea kwa kukiandika kita wekwa mbele yako!,utakana lakini kwa nguvu ya teknolojia itakutambua,kwa tarehe,muda na sasa uliyoweka utumbo wako!,ubaoni /
#Uzito wa ulichoandika kitaelekeza aina ya kifurushi unachostahili kupewa! Kwa kosa husika!
#Amazing sweet teknologia!
Nikisema '' ntakutia dole'' maana yake kinyeo chako kimekubali na wewe utaniita gaidi?""Hapo mwanzo palikuwa na neno,naye neno alikuwa mungu""
Msingi mkuu wa mema au mabaya ni ""NENO"" kile mtu atamkacho kutoka kinywani mwake,mfano,Tutaasi,tutakinukisha,au ""tutahakikisha uchaguzi hautafanyika""