Tetesi:-Endapo kama wewe upo fb na uliwahi kutoa maneno ya kichochezi jiandae!

Vitisho vya kikax na kingese tu
 
Watu wanachochea kwasababu kuna moto, sasa kama hamtaki watu wachochee ondoeni au zimeni kabisa huo moto... Ili wakose cha kuchochea.

Elewa neno MOTO.
 
Upumbavu mtupu 🚮
Wananchi wasiongee ukweli ni uchochezi??
 
Labda kuwe na magereza ya off day prisoners na boarders
 
""Hapo mwanzo palikuwa na neno,naye neno alikuwa mungu""
Msingi mkuu wa mema au mabaya ni ""NENO"" kile mtu atamkacho kutoka kinywani mwake,mfano,Tutaasi,tutakinukisha,au ""tutahakikisha uchaguzi hautafanyika""
octoba tunatiki
mitano tena
 
Unatutisha?, uchochezi gani?
 
""Hapo mwanzo palikuwa na neno,naye neno alikuwa mungu""
Msingi mkuu wa mema au mabaya ni ""NENO"" kile mtu atamkacho kutoka kinywani mwake,mfano,Tutaasi,tutakinukisha,au ""tutahakikisha uchaguzi hautafanyika""
Nikisema '' ntakutia dole'' maana yake kinyeo chako kimekubali na wewe utaniita gaidi?
 
Wameshindwa kukamata wale tuma kwenye namba hii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…