BlackBerry
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 1,839
- 958
Duuuh bado mjadala tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Michelle naomba uwe mwanasheria wangu kuna kesi flani ninayo mahali inahusu nyumba ndogo.....:A S shade:
Hakuna neno Kaizer....wewe tu ukiwa tayari niambie...l.o.l😛layball:

kuna wanawake wengine hata kuwaelezea inakuwa ngumu sana

sasa sijui kafurahia kifo cha mmewe?

fl1,kuna msiba nilikutana nao mahali nikimchukua mtu,mjane kaweka pozi la kukomeshea kama kakwaa taji la umiss bila kutarajia.nikamuuliza mwenyeji wangu kulikoni,akasema shosti alikuwa safarini akaitwa mume kafia gesti hausi hapa hapa mjini.unashindwa kumuelewa kama kafurahia kuumbuka kwa mumewe(sijui historia yao) ama vp?

hahaha hizi ndoa zina ammbo jamani.....R.I.P. majid

na kweli!manake bibie alikuwa kajikwatua,nadhani alihisi mgombea mwenza yupo kwenye audience.iliyobaki ni mtu kuamini mtima wake.
thanks..habari za tangu Easter lakini mpenzi?:A S-heart-2: mambo yalikuwa sawa...hope hakukuwa na scene ya waandishi wa habari...lol
apo kwen bold kuna hommie wangu hapa anajinadi kama babu mkaguaji, akipaona najua lazima tu roho imuume.....:-*