Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una uhakika gani kwamba sio hali halisi??Nilivyomwelewa Michelle anasema kwamba kuna uwezekano na umuhimu wa kuangalia swala zima kwa undani zaidi na sio kwamba anasema kwa uhakika imetokea!Kusema sio hali halisi ina maana kwamba una uhakika...je nini kinakupa uhakika huo?Huu ni mtazamo tu si halisia, na kwa mtazamo huu unaona yule dada ndio kasababisha au yule baba amesababisha huyo mama asababishe?
Mganga siku zote hajigangi Lizz no matter how intelligent she/he is. utachimba na kuchimbua at the end of the day hata unachokitafuta shimoni hukioni unafukia mashimo unaanza upyaTunaridhika kirahisi sana dearest...inaweza kua ni uvivu wa kuchimba na kuchambua mambo!
Huu ni mtazamo tu si halisia, na kwa mtazamo huu unaona yule dada ndio kasababisha au yule baba amesababisha huyo mama asababishe?
Na wewe Lizzy hujanielewa mimi sio nashabikia hapa tunajadili tu, uhalisia nimekubali hizo quote na majibu yake hayana uhalisia wowote ni mitazamo yangu na yake. Inaonekana mnamtetea mwanaume sasa mwanaume kama kafanyiziwa na mkewe nani aliyesababisha yote hayo?? hapo ndio swali? mahakamani hakuna aliyeachiwa huru kwa kitendo alichofanya bila kukusudia?Una uhakika gani kwamba sio hali halisi??Nilivyomwelewa Michelle anasema kwamba kuna uwezekano na umuhimu wa kuangalia swala zima kwa undani zaidi na sio kwamba anasema kwa uhakika imetokea!Kusema sio hali halisi ina maana kwamba una uhakika...je nini kinakupa uhakika huo?
What it do mamito?ha ha ha ha ha....najua ni ngumu kunielewa....unapotaka kutoa hukumu unaangalia mazingira ya kitu,yanaweza yakawa si uhalisia lakini kama mazingira hata kama si uhalisia yanaweza kufanya yule/wale wanaotoa hukumu kutoa hukumu kwa kile wao wanachoona ndo uhalisia japo si uhalisia....uhalisia mi na wewe hatuujui ila naweza shinda kesi kwa kutengeneza uhalisia kuwa aliua... kwa kupitia matukio ya nyuma na maneno ya kinywa chake huyo mama na ya mashahidi kama wewe mnayekiri alishauriwa vibaya kwenye lile tukio la kufumania...kwanini kama unakiri alishauriwa vibaya hapo nyuma akakubali, isiwezekane yeye kushauriwa vibaya kuua ukizingatia maneno yako alishafanya kila kitu kikashindikana mtu kutulia akawa na hasira mbaya....???
hata kama ni evidence hio ni circumstancial!:shut-mouth:
Hiyo si mpaka Dr athibitishe kwamba ugonjwa wa ini ulisababishwa na nini? Nakubali hasira yaweza kukufanya ufanye jambo baya, ila sio kwenye case hii, maradhi yake ndio yalimuuaha ha ha ha ha....najua ni ngumu kunielewa....unapotaka kutoa hukumu unaangalia mazingira ya kitu,yanaweza yakawa si uhalisia lakini kama mazingira hata kama si uhalisia yanaweza kufanya yule/wale wanaotoa hukumu kutoa hukumu kwa kile wao wanachoona ndo uhalisia japo si uhalisia....uhalisia mi na wewe hatuujui ila naweza shinda kesi kwa kutengeneza uhalisia kuwa aliua... kwa kupitia matukio ya nyuma na maneno ya kinywa chake huyo mama na ya mashahidi kama wewe mnayekiri alishauriwa vibaya kwenye lile tukio la kufumania...kwanini kama unakiri alishauriwa vibaya hapo nyuma akakubali, isiwezekane yeye kushauriwa vibaya kuua ukizingatia maneno yako alishafanya kila kitu kikashindikana mtu kutulia akawa na hasira mbaya....???
Na wewe Lizzy hujanielewa mimi sio nashabikia hapa tunajadili tu, uhalisia nimekubali hizo quote na majibu yake hayana uhalisia wowote ni mitazamo yangu na yake. Inaonekana mnamtetea mwanaume sasa mwanaume kama kafanyiziwa na mkewe nani aliyesababisha yote hayo?? hapo ndio swali? mahakamani hakuna aliyeachiwa huru kwa kitendo alichofanya bila kukusudia?
Kwa hiyo angeweza kumuua wakati anamvunja mkono kwa mikono yake?kama ni kujitetea? angeweza kujitetea kwa kusema kaingiliwa na mwizi mpaka chumbani kwake?baba yako akimuua mama yako kwa kuwa mama yako ali cheat akakuzaa wewe unataka tuone baba yako hana kosa kwasababu mama yako ndo alisababisha baba yako achukie na kupelekea kufanya vile? kwanini ajichukulie sheria mkononi?si angeweza ampatie divorce au kutengana au kumuadhibu vingine?? nimetoa mfano.....sina sababu yeyote ya kumtetea mwanaume, hapa tunajadiki mazingira ya kifo cha huyo baba.....
Mahakamani wapo wanaoachiwa kwa kuua bila kukusudia ila si kwa namna hii ya kuua....ni ile kama mtu ameua akijilinda...yaani pengine asimgemuua angekufa yeye kwa hiyo akamuwahi...huyu mama pia hatuna taarifa kuwa ana matatizo ya akili.....
Na wewe Lizzy hujanielewa mimi sio nashabikia hapa tunajadili tu, uhalisia nimekubali hizo quote na majibu yake hayana uhalisia wowote ni mitazamo yangu na yake. Inaonekana mnamtetea mwanaume sasa mwanaume kama kafanyiziwa na mkewe nani aliyesababisha yote hayo?? hapo ndio swali? mahakamani hakuna aliyeachiwa huru kwa kitendo alichofanya bila kukusudia?
Kweli kabisa, Ngoja niishie hapa Ukweli ni Mungu anajua na wenyewe, Michelle thanks kwa some law quotes, again, RIP Marehemuhii discussion ilianza vizuri,ila naona mmepoteza muelekeo huku mwishoni,kama mmemaliza points si muiache tu hi thread irest in peace mnh...:fear:
Kwa hiyo angeweza kumuua wakati anamvunja mkono kwa mikono yake?kama ni kujitetea? angeweza kujitetea kwa kusema kaingiliwa na mwizi mpaka chumbani kwake?
Kweli kabisa, Ngoja niishie hapa Ukweli ni Mungu anajua na wenyewe, Michelle thanks kwa some law quotes, again, RIP Marehemu
Una uhakika gani kwamba sio hali halisi??Nilivyomwelewa Michelle anasema kwamba kuna uwezekano na umuhimu wa kuangalia swala zima kwa undani zaidi na sio kwamba anasema kwa uhakika imetokea!Kusema sio hali halisi ina maana kwamba una uhakika...je nini kinakupa uhakika huo?
Hiyo si mpaka Dr athibitishe kwamba ugonjwa wa ini ulisababishwa na nini? Nakubali hasira yaweza kukufanya ufanye jambo baya, ila sio kwenye case hii, maradhi yake ndio yalimuua
hata kama ni evidence hio ni circumstancial!:shut-mouth: