nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,379
Mimi sina fesibuku akaunti nyingi. Kwani wewe una Nyumba Kubwa ni jina feki au real?
Do you need to ask? How can that be my name. That is just my ID. I am a legal partner of someone.
Halafu uwe unasoma basi na PM zako....
I am not a PM person.
Amen Mungu atamwinua tu inshallahAisee. Mungu ampe ujasiri bi Salma aweze kulea watoto wao vema. From the video I could tell the woman was frustrated. Japo mi sijasoma saikolojia, yule mama si kuwa alikuwa anashadadia mumewe kufumaniwa ila alikuwa amechanganyikiwa. Pale tunamwona anacheka kujifariji, watu wakiondoka akibaki peke yake anaangua kilio. Haya mambo nyie acheni tu!
Ni ushauri tu mbaya alipata Michell, nawajua na kuwafamu sana narudia ila tu ushauri mbaya umemfanya afanye yale, usicheze na hasira zile za wivu, kafanya kila njia ilishindikana mtu kutulia, sijasaport alichofanya ila ni katika hali ya kutapatapa tu, Mume yule ni mlevi kupindukia mpaka alisimamishwa kazini, pia huko Salma alienda kumfukuzisha? alikuwa mfanyakazi mzuri tu TRA huyo majid ni hulka yake kubadilisha mabibi kumpiga sana mkewe. Nafikiri akili yake ilifikia mwisho kabisa wa kufikiria, imagine mume anajua sababu amegombana na mkewe jana yake kwa vile amezoea akigombana nae anaondoka home, basi ndio alete mwanamke ndani kumbe mkewe kalala kwa watoto, hapo unaweza hata kuua na usifungwe, pale utakaloamua ni si akili yako, mueleweni tu wajameni. ndoa hizi si mchezo mamiiHakuna kitu kama unawajua sana....unlesss wewe ndo mama uliyemfumania mumeo na camera....kuna maswali yabidi ujiulize....huyo baba kaanza ku-cheat lini? kama alijua mumewe yu mgonjwa kwa nini afanye vituko vyote vile? kwanini ang'anga'anie na aseme kwa ujasiri sana kuwa yeye pale haondoki....na akazungumzia mali za mumewe na jinsi asivyoweza ziacha?mbwembwe zote zile zaweza kuwa zilikuwa kwa ajili ya ku-justify aliyoisha yafanya....manake kuna sumu za kuua taratibu si kila sumu inaua hapo kwa hapo....nyingine zachukua hata miaka,zinaanza figo,maini then mengineyo....nina mashaka sana...yale maandalizi ya fumanizi yanaleta maswali
If only walls could talk....
A very good wife na amejaribu sana kumshauri, mtu anaumwa wala hatulii ndio anazidisha mambo ya mabibi na siku ile naona alikosa wengine akaamua amtafute mzazi mwenzake maana walishaachana akawa na wengine hapa katikati. Yule dada mvumilivu sana anastahili shahada ya uvumilivuMimi Salma simjihi zaidi ya kuangalia ile crip. Lakini angekuwa ni mama mwenye roho mbaya hata mawifi zake wasingekuwa wanamnanga yule nyumba ndogo. Uliza walio kwenye ndoa! Yaani kama una roho ya korosho mmeo akiwa na nyumba ndogo kwa mawifi na mama mkwe ni sherehe. Kinyume na Bi Salma mawifi na wakwe zake walimficha mtoto ili kulinda ndoa wakati kama Salma ni mbaya wangeweza mshauri kaka yao aoe second wife kwani ni muislamu. Kwa hiyo wadada msichume dhambi. I still believe Salma is a good wife material.
Hajafa ila mkono wake umevunjika na hauna nguvu bado ana atend mama chezaanaweza olewa au kupata bwana mwingine au naye kafa?
A very good wife na amejaribu sana kumshauri, mtu anaumwa wala hatulii ndio anazidisha mambo ya mabibi na siku ile naona alikosa wengine akaamua amtafute mzazi mwenzake maana walishaachana akawa na wengine hapa katikati. Yule dada mvumilivu sana anastahili shahada ya uvumilivu
Ataolewa tu hawatajali kama watafumaniwa, she is very beautiful woman, mix ya kihindi na kinyamwezi, pale alikuwa tu rough! namfahamu kupitia mdogo wakeNani amwoe halafu akafumaliwe live?
Tena wewe ndio kabisa ukikutana nae lazima uwake tuyule mama hata kama haujui kiswahili ,ukiona video lake kwenye you tube tu hauwezi kumuowa. Nina hakika hata huko Abuzabi tayari wameliona, hivi youtube iko banned abuzabi?
Yaani alibadilika ghafla, haya ndio mambo ya wanaume kuchovyachovya wanawake ovyo, usikute alirogwa kama kurogwa kupohuyo marehemu majid namfahamu,ni kijana ambae alikuwa anampenda na kumjali sana mama ake.miaka ya nyuma alikuwa si mpenda wanawake.na alikuwa akijali sana kutengeneza maisha yake.mungu amlaze mahali pema.mbele yake,nyuma yetu
Kabisa kwanza kama ningekuwa yeye ningejikalia tu na watoto wangu presha za nini tenaKwa sababu wanaume karibu woote ni potential chovya chovya
Ndio tulivyolelewa na kukuta wazazi wetu wanavumilia the same kwa hiyo tunajifunza kidogokidogo mwisho tutaweza tu. Labda wasomi wanawake mnaoolewa sasa hivi at least mmepata exposure ya kutosha kabla ya ndoaUvumilivu gani huo? Mungu katupa akili jamani tuitumie kupambanua mambo yanayotukabili.
Kuna faida gani kupata shahada ya uvumilivu huku umevujwa mkono na huna hakika hujaambukizwa sexually transmitted diseases?
BWAGAMOYO kufanya nini na mikono na sumu zipo Lizzy? ndo maana naogopa sana roho za wanawake wanaoteseka na kujidai wanavumilia....wanalolipanga ajua Mungu.......RIP
Hakuna kitu kama unawajua sana....unlesss wewe ndo mama uliyemfumania mumeo na camera....kuna maswali yabidi ujiulize....huyo baba kaanza ku-cheat lini? kama alijua mumewe yu mgonjwa kwa nini afanye vituko vyote vile? kwanini ang'anga'anie na aseme kwa ujasiri sana kuwa yeye pale haondoki....na akazungumzia mali za mumewe na jinsi asivyoweza ziacha?mbwembwe zote zile zaweza kuwa zilikuwa kwa ajili ya ku-justify aliyoisha yafanya....manake kuna sumu za kuua taratibu si kila sumu inaua hapo kwa hapo....nyingine zachukua hata miaka,zinaanza figo,maini then mengineyo....nina mashaka sana...yale maandalizi ya fumanizi yanaleta maswali
If only walls could talk....
Ndio tulivyolelewa na kukuta wazazi wetu wanavumilia the same kwa hiyo tunajifunza kidogokidogo mwisho tutaweza tu. ........