nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,379
Hakuna survey itakayo kupa majibu sahihi unless ufanye ethnographical research!. Watu ni wepese wa kutoa majibu mepesi kwa maswali magumu. Tumia observation siyo survey ndo utakuja na majibu sahihi kwani ukifanya survey utaishia kuuliza watu ambao hawana experience na same situation.
Ok. Si rahisi ku conclude kuwa huyo mama alikuwa anang'ang'ania ndoa kwa sababu ya mali. But how can you conclude kuwa alikuwa hang'ang'anii ndoa kwa sababu ya mali? Siwezi kutoa judgement in either way, lakini mazingira ya hii event yanaweza kumfanya mtu afikie a certain conclusion. Kama ungeingia mtaani na kufanya survey unafikiri ni asilimia ngapi ya wanawake walioolewa wangesema kuwa wangefanya kama alivyofanya huyo mama?