Tetesi: Eti hatuko naye tena?

Tetesi: Eti hatuko naye tena?

Hakuna survey itakayo kupa majibu sahihi unless ufanye ethnographical research!. Watu ni wepese wa kutoa majibu mepesi kwa maswali magumu. Tumia observation siyo survey ndo utakuja na majibu sahihi kwani ukifanya survey utaishia kuuliza watu ambao hawana experience na same situation.

Ok. Si rahisi ku conclude kuwa huyo mama alikuwa anang'ang'ania ndoa kwa sababu ya mali. But how can you conclude kuwa alikuwa hang'ang'anii ndoa kwa sababu ya mali? Siwezi kutoa judgement in either way, lakini mazingira ya hii event yanaweza kumfanya mtu afikie a certain conclusion. Kama ungeingia mtaani na kufanya survey unafikiri ni asilimia ngapi ya wanawake walioolewa wangesema kuwa wangefanya kama alivyofanya huyo mama?
 
  • Thanks
Reactions: EMT
...sie ni wa mwenyezi mungu na kwake ni marejeo.
Tunapaswa kujiandaa na kutubia kabla mauti hayajatufika.
Haya yanayotajwa kufanywa na marehemu mnh...Mw'Mungu ndiye mjuzi.
RIP bwana Majjid.
 
Na wamama zetu walivumilia nini? mbona ilikuwa dhiki tu? nafikiri hii ni hulka tu na mambo ya ku believe in family ambayo yametuingia na sisi, na ukisema ukichitiwa uondoke utaondoka kwa wangapi? maana hata huko utakapoenda yanaweza kuwa mabaya zaidi ya unayoyakimbia, kwa hiyo utakuwa wa kutoka hapa kwenda pale. All in all uamuzi unabaki kuwa wa mhusika mwenyewe. Meanwhile let me stick in his ..ss

Tuko pamoja kwenye hilo, ila kumshauri mwanamke kuvumilia kwenye ndoana (especially uzinzi) hapo hapana. As much as tunataka familia zenye baba na mama, pia hatupendi watoto wanaolelewa bila wazazi kutokana na maradhi yanayoletwa kwa kujihusisha na uzinifu.

Tuambizane ukweli japo unauma au utapingwa na wengi, ila maamuzi yabaki kwa anayehusika ili siku ya siku asilaumu mtu.
 
Tuko pamoja kwenye hilo, ila kumshauri mwanamke kuvumilia kwenye ndoana (especially uzinzi) hapo hapana. As much as tunataka familia zenye baba na mama, pia hatupendi watoto wanaolelewa bila wazazi kutokana na maradhi yanayoletwa kwa kujihusisha na uzinifu.

Tuambizane ukweli jambo unauma au utapingwa na wengu, ila maamuzi yabaki kwa anayehusika ili siku ya siku asilaumu mtu.
Yah hapa huwezi lalamika kwa mtu, na yule dada Mungu amtie nguvu RIP Majid
 
Kila mtu ana maamuzi tofauti kutokana na personality yake. Na ukiambiwa ndoa zina ups and downs ndo ujua ups nyingine ni zaa juu zaidi na downs nyingine ni za chini sana. Kama Majd angeendelea kuwa hai ungeweza shangaa siku za usoni ana come to his senses ana rudi kuwa mume mwema, maana kama alivyosema mdau Majid hakuwa hivyo zamani. Misamaha isingekuwepo hamna hata ndoa moja ingebaki duniani nini Tanzania. Clinton ali cheat lakini mpaka leo yuko na mkewe na naweza sema uvumilivu wa mkewe umefanya familia yao iwe na mafanikia. Maana kama ndani hamna maelewano hata carrier haiwezi ku prosper. Na binti yao kaolewa sasa na yeye nina imani atakuwa good wife material kwani ameshajifunza ndoa yahitaji uvumilivu.

Kuna familia ukisikia mumeo ana kimada tu ukiwambia nduguzo wanakwambia unasubili nini. Kama wanaume wamejaa mitaani chapa lapa. Lakini kama wanaume ni wale wale dont you think kuwa uamuzi wa divorce ni wa jazba zaidi?

Nyumba Kubwa nafikiri facts za ile case ya Clinton na za huyu mama ni tofauti kidogo. Tena response ya Mrs Clinton ilikuwa tofauti na aliyofanya huyu mama. Mrs Clinton alimfumania mumewe? Hata kama alimfumania imagine naye Mrs Clinton angewaita CNN waonyeshe live akimfumania Mr Clinton, bado wangekuwa pamoja? Pia iko wazi kabisa kuwa uamuzi aliofikia Mrs Clinton ulikuwa sio tuu kudumisha ndoa yake. Kulikuwa pia na sababu nyingine tena very crucial ambazo sidhani zinarelate in anyway na sababu tunazospeculate kwenye issue ya huyu mama.
 
The last truth I will tell a woman is to leave his husband. Kwa sababu nambie umwambie mdada hata kama ni ndugu yako amwache mumewe mzinzi, alafu wewe utamsaidia vipi baada ya kuachika? Utamtafutia mume mwingine? Je akiachika na kuanzisha uhusiano mwingine na mume wa mtu utamshauri nini tena? Maana tunasahau kuwa hao wamama wakisha divorce haina maana kuwa matamanio yao ya ngono yatakwisha. Unaweza kudhani kuwa unamwepusha na ukimwi kwa mumewe kumbe anaenda kutafuta ukimwi kwingine mitaani. Hilo la ukimwi lipo na si la kukimbia ni la kudeal nalo kwani uolewe usiolewa bado waweza kufa na ukimwi.

Kuna dada aliolewa na mume kijana hajatulia hata kidogo but they were in love. Yaani nduguze kuna siku walienda na gari kumtoa kwa mumewe. Dada mwenyewe ni mpole sana tofauti na ndugu zake wote maana ndugu zake wana midomo ni noma hata mama yao ni same na pesa ipo sana kwao. Sasa cha kushangaza eti yule dada anajiiba na kwenda kwa ex husband wake. Very childish. Ila sasa nasikia wamempeleka mdada nje ya nchi ili jamaa asiendelee kukamua.

Tuko pamoja kwenye hilo, ila kumshauri mwanamke kuvumilia kwenye ndoana (especially uzinzi) hapo hapana. As much as tunataka familia zenye baba na mama, pia hatupendi watoto wanaolelewa bila wazazi kutokana na maradhi yanayoletwa kwa kujihusisha na uzinifu.

Tuambizane ukweli jambo unauma au utapingwa na wengu, ila maamuzi yabaki kwa anayehusika ili siku ya siku asilaumu mtu.
 
Na wamama zetu walivumilia nini? mbona ilikuwa dhiki tu? nafikiri hii ni hulka tu na mambo ya ku believe in family ambayo yametuingia na sisi, na ukisema ukichitiwa uondoke utaondoka kwa wangapi? maana hata huko utakapoenda yanaweza kuwa mabaya zaidi ya unayoyakimbia, kwa hiyo utakuwa wa kutoka hapa kwenda pale. All in all uamuzi unabaki kuwa wa mhusika mwenyewe. Meanwhile let me stick in his ..ss

So where is this called women emancipation? Kama mwanaume anaweza kumfumania mkewe na kumdivorce hapo hapo, wanawake hawawezi? Bado equality haipo?
 
Cheating is cheating. Alichofanya Clinton na Majid ni sawa sawa. Wote wanatembea nje ya ndoa. What differs ni reaction ya wake zao. Kutembe nje ni kutembea nje haijalishai umalala na kimada ndani au guest au kanisani wote ni cheaters tu

Nyumba Kubwa nafikiri facts za ile case ya Clinton na za huyu mama ni tofauti kidogo. Tena response ya Mrs Clinton ilikuwa tofauti na aliyofanya huyu mama. Mrs Clinton alimfumania mumewe? Hata kama alimfumania imagine naye Mrs Clinton angewaita CNN waonyeshe live akimfumania Mr Clinton, bado wangekuwa pamoja? Pia iko wazi kabisa kuwa uamuzi aliofikia Mrs Clinton ulikuwa sio tuu kudumisha ndoa yake. Kulikuwa pia na sababu nyingine tena very crucial ambazo sidhani zinarelate in anyway na sababu tunazospeculate kwenye issue ya huyu mama.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
So where is this called women emancipation? Kama mwanaume anaweza kumfumania mkewe na kumdivorce hapo hapo, wanawake hawawezi? Bado equality haipo?

Equality tunaitaka ila hatuitaki!Kwenye mambo kama haya utaishia kuambiwa wanawake tumeumbwa na roho ya huruma..wanawake tumeumbwa kua wavumilivu.Ukiangalia upande mwingine kama mama ndo angekua amefumaniwa sidhani kama angepewa nafasi ya kusema nywe...
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Usawa haumaanishi kuwa hatuna difference ki sex, its is only gender equality. Mwanamke ataendelea kuwa mwanamke na mwanamme alikadhalika. Kutokana na utofauti wetu kibiologia ndio maana wanaume wanatoa divorce on the sport kwani hawajaumbwa na roho ya uvumilivu kama sie.

Na wanawake kuto toa divorce on the sport haina maana kuwa ni kwa sababu ya kuwa less empowered. No matter how powerful a woman is still needs a partner. Na ndio maana hata wanawake mawaziri wame zao ni cheaters na hao wanawake hawatoi talaka on the sport japo wana uwezo wa kuishi bila kutegemea mwanaume materially.

Wapo wanaoweza fanya hivyo, wanawake wote hatuko sawa kila mtu na mtazamo wake, na wanaosema wakiwafumania waume zao wanawaacha hapohapo ndio haohao huwa unashangaa wanang'ang'ania kama ruba, halafu mimi ninayeona siwezi muacha ,nikaondoka bila watu kutambua nimeondokaje, ila utandawazi sasa hivi unafanya kila mtu atambue haki yake.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Usawa haumaanishi kuwa hatuna difference ki sex, its is only gender equality. Mwanamke ataendelea kuwa mwanamke na mwanamme alikadhalika. Kutokana na utofauti wetu kibiologia ndio maana wanaume wanatoa divorce on the sport kwani hawajaumbwa na roho ya uvumilivu kama sie.

Na wanawake kuto toa divorce on the sport haina maana kuwa ni kwa sababu ya kuwa less empowered. No matter how powerful a woman is still needs a partner. Na ndio maana hata wanawake mawaziri wame zao ni cheaters na hao wanawake hawatoi talaka on the sport japo wana uwezo wa kuishi bila kutegemea mwanaume materially.
Lol sioni kitufe cha thanx wala like ila imekaa vizuri hii, na kutompa talaka mume sio kwamba unamtegemea saana kimaisha ni ule tu uvumilivu wa mwanamke mwenyezi Mungu aliotujalia
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Nyumba Kubwa nafikiri facts za ile case ya Clinton na za huyu mama ni tofauti kidogo. Tena response ya Mrs Clinton ilikuwa tofauti na aliyofanya huyu mama. Mrs Clinton alimfumania mumewe? Hata kama alimfumania imagine naye Mrs Clinton angewaita CNN waonyeshe live akimfumania Mr Clinton, bado wangekuwa pamoja? Pia iko wazi kabisa kuwa uamuzi aliofikia Mrs Clinton ulikuwa sio tuu kudumisha ndoa yake. Kulikuwa pia na sababu nyingine tena very crucial ambazo sidhani zinarelate in anyway na sababu tunazospeculate kwenye issue ya huyu mama.
Ingawa hakuwaita yeye CNN ila kiasi fulani walihudhuria tukio kiaina hili tu lingemfanya aamue vinginevyo, kuna Victoria Beckham kwa kesi yake angeweza ku walk away na pesa kibao akaishi maisha ya amani ila aliamua kuvumilia na uvumilivu wake umemfanya aendelee kuishi na mwanaume anaempenda na akampa chance ya kubadilika. Kwa uamuzi wake huo ameweza kumshauri hata mke wa Roony kama sikosei jina nae kanywea ndoa inaendelea,nahisi second chance huwa inamfanya mtu awe much better and stronger than ever before
 
Equality tunaitaka ila hatuitaki!Kwenye mambo kama haya utaishia kuambiwa wanawake tumeumbwa na roho ya huruma..wanawake tumeumbwa kua wavumilivu.Ukiangalia upande mwingine kama mama ndo angekua amefumaniwa sidhani kama angepewa nafasi ya kusema nywe...

Exactly Lizzy. Ndicho Mama Mkubwa anachosema hapo chini.

Usawa haumaanishi kuwa hatuna difference ki sex, its is only gender equality. Mwanamke ataendelea kuwa mwanamke na mwanamme alikadhalika. Kutokana na utofauti wetu kibiologia ndio maana wanaume wanatoa divorce on the sport kwani hawajaumbwa na roho ya uvumilivu kama sie.

Na wanawake kuto toa divorce on the sport haina maana kuwa ni kwa sababu ya kuwa less empowered. No matter how powerful a woman is still needs a partner. Na ndio maana hata wanawake mawaziri wame zao ni cheaters na hao wanawake hawatoi talaka on the sport japo wana uwezo wa kuishi bila kutegemea mwanaume materially.

So, how can we reconcile this? Tuachane na hizi equality movements? Are fighting a loosing battle?
 
Mwanamke mwenye akili hayo mambo sijuhi ya Beijing anayakubali with caution. Hao wanawake wanaojifanya wanatetea haki unakuta 70% hawana wame. Kwa hiyo akili kichwani. How could someone advice you how you should treat your husband when she does not have one?

Exactly Lizzy. Ndicho Mama Mkubwa anachosema hapo chini.

So, how can we reconcile this? Tuachane na hizi equality movements? Are fighting a loosing battle?
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Ingawa hakuwaita yeye CNN ila kiasi fulani walihudhuria tukio kiaina hili tu lingemfanya aamue vinginevyo, kuna Victoria Beckham kwa kesi yake angeweza ku walk away na pesa kibao akaishi maisha ya amani ila aliamua kuvumilia na uvumilivu wake umemfanya aendelee kuishi na mwanaume anaempenda na akampa chance ya kubadilika. Kwa uamuzi wake huo ameweza kumshauri hata mke wa Roony kama sikosei jina nae kanywea ndoa inaendelea,nahisi second chance huwa inamfanya mtu awe much better and stronger than ever before

Pamoja na kuwa watu wanataka kudumisha ndoa, pia zipo sababu nyingine pia. Umesahau ku-mention na mke wa John Terry hapo. Lakini kwa nini mke wa Tiger Woods ali walk away? Alikuwa sio mvumilivu? Au Tiger Woods asingebadilika akama angempa second chance?
 
Hizo ndio zile exceptions sio wote wanaweza
 
Gaga sio wote wanakua "better and stronger"!Wengine kuwasamehe ni sawa na kuwaruhusu wakutendee makubwa na mabaya zaidi wakijua watasemehewa...ndo maana watu wanapigwa mpaka kuuwawa..wanadanganywa mpaka kuletewa magonjwa na wengine wanasimangwa na kunyanyaswa mpaka wanachanganyikiwa!Kila kitu kiwe na kiasi..mwenzako akianza kuchukulia uvumilivu wako kama udhaifu ndo basi tena!
 
Cheating is cheating. Alichofanya Clinton na Majid ni sawa sawa. Wote wanatembea nje ya ndoa. What differs ni reaction ya wake zao. Kutembe nje ni kutembea nje haijalishai umalala na kimada ndani au guest au kanisani wote ni cheaters tu

Hapo sawa na kusema kuua ni kuua. But still people get different punishments kwa kutenda kosa hilo hilo.
 
Back
Top Bottom