Tetesi: Eti hatuko naye tena?

rip.mungu akuongoze salma kuwalea watoto wako,na kukabiliana na changamoto za kulea watoto singly hand!
 
hujatulia

hapana Gaga, ni katika kuambizana ukweli tu.

Wazazi waliwafunza kuvumilia, nanyi mka pass on mafunzo kwa Salma, kuliko kuwa mtalaka/kuishi mwenyewe (angepata child support at least wakati anaadjust na maisha mapya) bora kumvumilia mume mzinzi. Sasa Mola kampenda bwana Majid jumla, child support hakuna, Salma atamudu kweli kuishi mwenyewe na kulea watoto?

Any way, God knows the best.
 
Mimi bado namuuona ana busara sana. Yaani mume wangu mumchukue huko mitaani mimi nauchuna muone haitoshi mnitembelee ndani kabisaa. Mimi nisingeita waandishi wa habari, mwandishi angekuwa kimada mwenyewe kwani kesi ingekuwa mahakamani na ingeandikwa tu magazetini.

 
Kuna mahali uliona nimesema namfundisha kweli embu naomba niquote please! thou amefanya kosa kuleta waandishi ila ni kitu ambacho mtu anafanya kwa hasira kwa nini asingewaita huko nyuma?
 
Si ana kazi zake mbona mumewe hana kazi na yeye alikuwa msaada kwake still kamletea hadi ndani?
 
Si ana kazi zake mbona mumewe hana kazi na yeye alikuwa msaada kwake still kamletea hadi ndani?

Ndio hapo ninaposhangaa wanaosupport uvumilivu. Gaga ukiona your significant other kakuletea mwanamke mwingine nyumbani kwako, tena nyumba yenye watoto, kitandani kwako; jua hakupendi, kakuchoka, keshakuambia kwa maneno husikii (kwa vile umeshauriwa vumilia) sasa nakuonyesha jinsi alivyokuchoka kwa VITENDO.

Mnapowafundisha au kuwashauri wenzenu kuvumilia, wafundisheni na kusoma alama za nyakati.
 
Reactions: EMT
watun wakikariabia kufa huwa wanavituko sana!
 
Hii discussion itaendelea kuwa na mitazamo tofauti kwa vile kila mtu ana undeclared interests. Kuna watu ambao kwa sababu kadhaa ni pro marriage na watatetea ndoa kwa nguvu zote. Kuna watu kwa sababu zao binafsi pia ni against marriages na wanaona ndoa si ya kuvumilia unapokuwa cheated au abused chapa lapa. Kuna watu pro infidelity wanaona unapomkamata mwenizo ana cheat hupaswi ku react. Kuna wachache hawana any polarised interest wanachangia neutrally ila ni wachache. Unless kila mtu ata declare interest kila mtu atabaki kumshangaa mwenzie kwa nini anatoa mchango alioutoa.

 

Kwenye ndoa the best interest ni kuishi wa kuheshimiana, kuheshimu ndoa na familia. Unapomshauri mtu avumilie kwenye ndoa ambayo anaona kabisa kwamba hutakiwi, unaonyeshwa kwa vitendo, tena kwa muda mrefu; inawezekana kabisa interest ni zaidi ya hiyo ndoa na pengine ni mali.

Inapokuja kwamba interest ni mali, nyumba kubwa nitakuelewa. Hata Salma mwenyewe alideclare kwamba hawezi kuondoka aache Noah, nyumba na mume mwarabu.

Lakini kama interest ni ndoa, yeyote mwenye kujali utu, afya na wanaehawezi kung'ang'ania ndoa ya aina ya Bi Salma.
 
Reactions: EMT
Kwa mtu wa pembeni ni rahisi ku conclude kuwa huyu dada anang'ang'ania ndoa kwa sababu ya mali. Nina rafiki yangu mume wake ana pesa kupita maelezo. Basi kuna siku kanambia wife wa family friend wao amemtonya mumewe ana nyumba ndogo kwa muda mrefu na watu wanasema yeye wife anajua ila anamganda mumewe kwa kuwa ana pesa. Akawa analalamika kwangu kwani mimi nawajua long time kitambo toka wana date walikuwa hawana hata TV nini pesa. Watu wengi wanadhani wanawake wenye wame wenye pesa waliolewa kwa sababu ya pesa si penzi wakati wanaume wengi hizo pesa wanazipata baada ya kuoa. Ni wachache wanaooa wakiwa na hayo ma vogue.


 

Nakubaliana na wewe. Inawezekana personal interests inachangia kutoa opinion zinazotafautiana. Lakini pamoja na kuvumilia kote kuna kitu kinaitwa the "last straw". Imagine ungekuwa kwenye position ya huyo mama, ungefanya kama alivyofanya? The last straw being umemkuta mumeo sio tuu ndani ya matrimonial home na mwanamke mwingine bali pia wakiwa wamelala kwenye matrimonial bed wakati wewe umelala kwenye chumba cha watoto.
 
Kila mtu ana maamuzi tofauti kutokana na personality yake. Na ukiambiwa ndoa zina ups and downs ndo ujua ups nyingine ni zaa juu zaidi na downs nyingine ni za chini sana. Kama Majd angeendelea kuwa hai ungeweza shangaa siku za usoni ana come to his senses ana rudi kuwa mume mwema, maana kama alivyosema mdau Majid hakuwa hivyo zamani. Misamaha isingekuwepo hamna hata ndoa moja ingebaki duniani nini Tanzania. Clinton ali cheat lakini mpaka leo yuko na mkewe na naweza sema uvumilivu wa mkewe umefanya familia yao iwe na mafanikia. Maana kama ndani hamna maelewano hata carrier haiwezi ku prosper. Na binti yao kaolewa sasa na yeye nina imani atakuwa good wife material kwani ameshajifunza ndoa yahitaji uvumilivu.

Kuna familia ukisikia mumeo ana kimada tu ukiwambia nduguzo wanakwambia unasubili nini. Kama wanaume wamejaa mitaani chapa lapa. Lakini kama wanaume ni wale wale dont you think kuwa uamuzi wa divorce ni wa jazba zaidi?


 
May be we should have a drink someday! i like this
 
Reactions: EMT
Na ukiangalie ile clip it seems Majid alikuwa anacheat alafu anaenda omba msamaha kwa wife. Kwa hiyo usikimbilie ku conclude kuwa there was no love at all in Salma's marriage. Wewe waulize cheaters kama mapenzi kwa wake zao hamna. Ni tabia zao tu zinawafanya wapende kuchovya chovya.

 
Reactions: EMT
Umenikumbusha mbali sana! hizi pesa nzuri ila??????
 


Ok. Si rahisi ku conclude kuwa huyo mama alikuwa anang'ang'ania ndoa kwa sababu ya mali. But how can you conclude kuwa alikuwa hang'ang'anii ndoa kwa sababu ya mali? Siwezi kutoa judgement in either way, lakini mazingira ya hii event yanaweza kumfanya mtu afikie a certain conclusion. Kama ungeingia mtaani na kufanya survey unafikiri ni asilimia ngapi ya wanawake walioolewa wangesema kuwa wangefanya kama alivyofanya huyo mama?
 
Na wamama zetu walivumilia nini? mbona ilikuwa dhiki tu? nafikiri hii ni hulka tu na mambo ya ku believe in family ambayo yametuingia na sisi, na ukisema ukichitiwa uondoke utaondoka kwa wangapi? maana hata huko utakapoenda yanaweza kuwa mabaya zaidi ya unayoyakimbia, kwa hiyo utakuwa wa kutoka hapa kwenda pale. All in all uamuzi unabaki kuwa wa mhusika mwenyewe. Meanwhile let me stick in his ..ss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…