Tetesi: Eti hatuko naye tena?

Tetesi: Eti hatuko naye tena?

Afu Nyani Ngabu hivi jina lako ni real. Nimekuona kwenye list ya friends kwenye face book account ya rafiki yangu nikashangaa! Wengine humu tunabwabwaja kwa kuwa tunatumia fake names. Aaah, nikiweka jina hapa nakuta talaka nyumbani!

Khaa! Hebu rudi huko fesibuku ukani-add tuwe marafiki. NN ni jina langu la kweli. Nenda basi fesibuku ukaniadd....pliiiiiiiiz
 
Niki ku add itabidi niandae maelezi kurasa mbili kueleza mimi na wewe tuna uhusiano gani.

Hamna bana.....hata picha nlonayo uko ndo hii hii....very innocent. Mista hatastukia bana....akiuliza mwambie I'm your distant cuzin
 
I still dont believe this is your name. Jina la wapi hilo, mbona limekaa kimzaa mzaa
 
I still dont believe this is your name. Jina la wap hilo, mbona limekaa kimzaa mzaa

Unataka nikuonyeshe cheti changu cha kuzaliwa? Driver's license? Passport?

Ukitaka kujua Ngabu ni jina la wapi wewe li google tu uone hits utakazopata.
 
Mh kwa jinsi wabongo tunavyopenda kuchonga hata Mwarabu wa Abu Dhabi ataipata story nzima tuu hata kama ni baada ya miaka 15.

Hahahaha!Hujakosea kabisa!Nilienda sehemu na wasichana wawili wageni mtaani kwetu...huyo mmoja alikua anamfahamu mtu maeneo hayo kwahiyo tukaenda kumsalimia!Baada ya salamu yule dada wa tatu "asiyejulikana" akaambiwa na huyo mkaka we nakujua sana!Kuchimba kidogo ajue nini kaka anaongelea dada alibaki mdomo wazi!Wabongo kweli ni noma!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Poa, ngoja ni google, though it wont change my stance!

Unataka nikuonyeshe cheti changu cha kuzaliwa? Driver's license? Passport?

Ukitaka kujua Ngabu ni jina la wapi wewe li google tu uone hits utakazopata.
 
Unatuonea. Ila wanaume kubali kataa, kama si leo kesho. Mna mioyo myepesi na ni wepesi kuingia kwenye mitego ya masister du. Nakubali wapo walio waaminifu ila ni wa chache na wengine ndio hivyo wanakuwa waaminifu kwa muda baadae wanajiunga kundini.

Khaa! Hebu rudi huko fesibuku ukani-add tuwe marafiki. NN ni jina langu la kweli. Nenda basi fesibuku ukaniadd....pliiiiiiiiz

Sasa hapo Nyumba Kubwa unataka kumfanya Nyani Ngabu ajiunge kundini sio eh? Halafu unasingizia single ladies? Nyumba ndogo huwa inaanza hivi hivi. LOL
 
Sasa hapo Nyumba Kubwa unataka kumfanya Nyani Ngabu ajiunge kundini sio eh? Halafu unasingizia single ladies? Nyumba ndogo huwa inaanza hivi hivi. LOL

Aaah we nawe bana.....
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Wewe ni leader wa FNI? Acha urongo! Nimekushtukia. Nadhani nyie ndo wale mna e mail account na face book account kadhaa kwa majina tofauti tofauti. Na hao marafiki ulonao face book wanakujua kwa fake name!

Poa. Just a minute
 
Mimi sina fesibuku akaunti nyingi. Kwani wewe Nyumba Kubwa ni jina feki au real?
 
Acha wivu wewe. I am a strong woman with a man that every woman would dream of.

Kama alivyosema Nyumba kubwa moyo wako mwepesi unakufanya uingie kwenye mtego wake. Wasiwasi wangu ni usije ukafumaniwa tuu.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Back
Top Bottom