Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Zandaaaaaani, ikiwa Simba wataendelea na msimamo wao wa kuogopa kuleta timu uwanjani basi mamlaka zimepanga kutotoa tuzo kwa wachezaji waliofanya vyema msimu huu.
Unaushahidi?Kwamba hamjui kama Simba wamepeleka kikos jion hii Kwa mkapa kupasha
NdioUnaushahidi?
Ni mind game hiyo, kufanya mazoezi siyo shida ...ni mind gameKwamba hamjui kama Simba wamepeleka kikos jion hii Kwa mkapa kupasha
Na kuchukua tickets za VIP na VVIP nako ni mind game?Ni mind game hiyo, kufanya mazoezi siyo shida ...ni mind game
Kwani ina cost nini? Hizo ni mind games,Na kuchukua tickets za VIP na VVIP nako ni mind game?
Kwa hiyo unavyojua ww Kesho Mechi hakuna?Kwani ina cost nini? Hizo ni mind games,
Simba ni intelijensia
Simba ni intelijensia.Kwa hiyo unavyojua ww Kesho Mechi hakuna?
Angekuwa intelijensia asingekuwa na ukame wa makombe chumbani kwake.Simba ni intelijensia.
Yanga ni mfuasi wa intelijensia.
Simba ni IMANIAngekuwa intelijensia asingekuwa na ukame wa makombe chumbani kwake.
Acheni kuaminishwa ujinga