Tetesi: Hakutakuwa na Tuzo za wachezaji msimu huu

Ponjoro wa Kinondoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
3,771
Reaction score
10,311
Zandaaaaaani, ikiwa Simba wataendelea na msimamo wao wa kuogopa kuleta timu uwanjani basi mamlaka zimepanga kutotoa tuzo kwa wachezaji waliofanya vyema msimu huu.
 
Simba hana ubavu wa kugoma
Wenye hiyo nguvu ni Yanga tu
Timu wataleta na kufungwa watafungwa
 
Kwamba hamjui kama Simba wamepeleka kikos jion hii Kwa mkapa kupasha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…