Tetesi huanza na minong'ono

kwa ramli chonganishi nakuogopa sana, ndo maana jana nimelala na maluweluwe kumbe ulikuwa unapiga manyanga, maana hii safari ya jamaica usiku wa mananesio bure
 
Mkuu nashukuru umegundua hi uzi wako ungekuletea matatizo jitahidi kuuhamisha uingize masuala ya Yanga au Bartazar, mtazania ni rahisi kumbadili channel zake wana hisia kali ila akili ndogo
 
Yeyote aliye madarakani kwa sasa ni laana kwa Taifa.

Tuwaimbie tu wala tusichoke. Na yeyote atakayekuja kwa upande wa wanaoangukia dongo naye ataenda tu.

Nchi itapona
 
Hata mimi nahusika kwenye hii reply? Maana hakuna popote nilipotaja kifo waala kumtaja yoyote
Huhusiki mkuu, nimesoma replies za watu ndio nikaona kuna sumu kali sana zaidi ya ile ya koboko.

Kimsingi kama kuna shida nadhani ni haki ya wananchi kujua, mbona Ben, JK na JN watu walipewa taarifa na hakukuwa na tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…