Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa ramli chonganishi nakuogopa sana, ndo maana jana nimelala na maluweluwe kumbe ulikuwa unapiga manyanga, maana hii safari ya jamaica usiku wa mananesio bureTetesi huanza na minong'ono.. Hiyo minong'ono ikikoma huwa tetesi na tetesi zikikoma huwa breaking news..!
Dunia ya sasa iko uchi kutokana na maendeleo makubwa ya teknolojia.. Dunia haina siri tena!
Unafanya jambo gizani.. Tena giza totoro kabisa lakini unakuja kushangaa jambo hilo linakuja kuwekwa upenuni peupe kwa picha safi kabisa
Kuficha taarifa yoyote kubwa inayoihusu Jamii haisaidii chochote.. Tunaweza kafanya hivyo kwa lengo maalum na sababu maalum lakini kwa dunia hii ya sasa.. Taarifa zinaweza kuvuja zenyewe bila hata kuvujishwa na yoyote yule
Kuna madhara makubwa kwenye taarifa kuvuja zenyewe.. Maana ni sawa na bomba la maji lililopasuka na kuvujisha maji barabarani.. Yale maji hayana mwenyewe.. Yeyote anaweza kuyatumia vyovyote
Taarifa zinazovuja zenyewe hurembwa, hutiwa nakshi na kuongezewa vikolombwezo vya kila aina kulingana na mahitaji ya mlengwa!
Hakuna siri ya mtu moja duniani.. Ni fikra finyu kuruhusu minong'ono itawale kuliko kuweka wazi.. Akili ya binadamu ni kitu kisichozuilika.. Ukiibania taarifa unaiongezea udadisi na mshawasha wa kutaka kujua zaidi.. Kujua kulikoni...
Minong'ono ya Msechu kujiandaa kuingia studio ni uzushi usiofaa kupewa kipaza sauti
Mkuu nashukuru umegundua hi uzi wako ungekuletea matatizo jitahidi kuuhamisha uingize masuala ya Yanga au Bartazar, mtazania ni rahisi kumbadili channel zake wana hisia kali ila akili ndogoTetesi huanza na minong'ono.. Hiyo minong'ono ikikoma huwa tetesi na tetesi zikikoma huwa breaking news..!
Dunia ya sasa iko uchi kutokana na maendeleo makubwa ya teknolojia.. Dunia haina siri tena!
Unafanya jambo gizani.. Tena giza totoro kabisa lakini unakuja kushangaa jambo hilo linakuja kuwekwa upenuni peupe kwa picha safi kabisa
Kuficha taarifa yoyote kubwa inayoihusu Jamii haisaidii chochote.. Tunaweza kafanya hivyo kwa lengo maalum na sababu maalum lakini kwa dunia hii ya sasa.. Taarifa zinaweza kuvuja zenyewe bila hata kuvujishwa na yoyote yule
Kuna madhara makubwa kwenye taarifa kuvuja zenyewe.. Maana ni sawa na bomba la maji lililopasuka na kuvujisha maji barabarani.. Yale maji hayana mwenyewe.. Yeyote anaweza kuyatumia vyovyote
Taarifa zinazovuja zenyewe hurembwa, hutiwa nakshi na kuongezewa vikolombwezo vya kila aina kulingana na mahitaji ya mlengwa!
Hakuna siri ya mtu moja duniani.. Ni fikra finyu kuruhusu minong'ono itawale kuliko kuweka wazi.. Akili ya binadamu ni kitu kisichozuilika.. Ukiibania taarifa unaiongezea udadisi na mshawasha wa kutaka kujua zaidi.. Kujua kulikoni...
Minong'ono ya Msechu kujiandaa kuingia studio ni uzushi usiofaa kupewa kipaza sauti
Hii nzuri haina haja ya kusubiri watoto walale.Dah ina Hali si shwari Tena?
... Hivyo bado unaendelea na mchakato kuhakikisha anafikia lengo na level za Adv. 'Msomi' P. kibatalamengine sitaki kujua maana mwanasheria wangu kamaliza darasa la saba juzi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kweli hapo utawashika na kuwahamisha haraka, .......eti kuna kipindi Yanga aliomba Mungu icheze na malaika hapa duniani hamna timu ya kuifunga je Tabora ni Malaika? Au Yanga aliji over rate?
Chura amefafanua pale juu nenda ukasome comment #4 naona utaelewa jamboNani katangulia..??
Yeyote aliye madarakani kwa sasa ni laana kwa Taifa.Tetesi huanza na minong'ono.. Hiyo minong'ono ikikoma huwa tetesi na tetesi zikikoma huwa breaking news..!
Dunia ya sasa iko uchi kutokana na maendeleo makubwa ya teknolojia.. Dunia haina siri tena!
Unafanya jambo gizani.. Tena giza totoro kabisa lakini unakuja kushangaa jambo hilo linakuja kuwekwa upenuni peupe kwa picha safi kabisa
Kuficha taarifa yoyote kubwa inayoihusu Jamii haisaidii chochote.. Tunaweza kafanya hivyo kwa lengo maalum na sababu maalum lakini kwa dunia hii ya sasa.. Taarifa zinaweza kuvuja zenyewe bila hata kuvujishwa na yoyote yule
Kuna madhara makubwa kwenye taarifa kuvuja zenyewe.. Maana ni sawa na bomba la maji lililopasuka na kuvujisha maji barabarani.. Yale maji hayana mwenyewe.. Yeyote anaweza kuyatumia vyovyote
Taarifa zinazovuja zenyewe hurembwa, hutiwa nakshi na kuongezewa vikolombwezo vya kila aina kulingana na mahitaji ya mlengwa!
Hakuna siri ya mtu moja duniani.. Ni fikra finyu kuruhusu minong'ono itawale kuliko kuweka wazi.. Akili ya binadamu ni kitu kisichozuilika.. Ukiibania taarifa unaiongezea udadisi na mshawasha wa kutaka kujua zaidi.. Kujua kulikoni...
Minong'ono ya Msechu kujiandaa kuingia studio ni uzushi usiofaa kupewa kipaza sauti
Bi Mkubwa yupi? Chura tusaidie kidogo kutupa infoNimeingia X kwa Maria Sarungi, habari ni tetesis ya Bi. Mkubwa kuwa magonjwa na kwamba taarifa inafichwa.
Muda utaongea.
GamondMimi nimejiandikia tu best baada ya Amphibia kuliwa kichwa na nyuki wakali sasa redio mbao zinasema watamtimua
DABWameruhusu minong'ono itawale kwa matumizi yao.. Kama zile tetesi za sumu
GamondInamhusu nani hiyo??
GamondMi ndo hata sielewi nini kinaendelea
Huhusiki mkuu, nimesoma replies za watu ndio nikaona kuna sumu kali sana zaidi ya ile ya koboko.Hata mimi nahusika kwenye hii reply? Maana hakuna popote nilipotaja kifo waala kumtaja yoyote