Tetesi huanza na minong'ono

Huhusiki mkuu, nimesoma replies za watu ndio nikaona kuna sumu kali sana zaidi ya ile ya koboko.

Kimsingi kama kuna shida nadhani ni haki ya wananchi kujua, mbona Ben, JK na JN watu walipewa taarifa na hakukuwa na tatizo.
Tunahamishiwa magoli ili tupaishe ujue.. Wale wanyama baada ya kupakiwa kule mbugani ndio yakaja mambo ya likizo na kupewa thumu ya mende
 
Hiyo ni moja ya madhara ya ukuaji wa teknolojia.
Tunapaswa kila jambo tulitendalo kulifikilia kwa upana zaidi ili kuepukana na dhahama itakayokuja kutokea hapo mbele kama hasara ni nyingi kuliko faida hakuna ulazima wa kulifanya jambo ilo.
 
Wewe umrejuaje ni uzushi, amekufahamisha yeye binafsi?
 
Wewe ni kati ya akili kubwa hapa jukwaani. Tunaendelea kusikiliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…