pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Yes, tukasikia tayari. Sumu imemtanguliza chuma mmoja toka Tz maeneo ya chuga, huko SA. Mara ghafla akatokea na misafara, watu kimyaaa mpaka leo. Huwa sikimbilii kuamini hadi, wimbo wa Taifa au breaking news.Wameruhusu minong'ono itawale kwa matumizi yao.. Kama zile tetesi za sumu
Huyo huyo mleta mada ndiye alianzishaga hiyo story. Kwa kuumbuliwa kule kama angekuwa ni mtu wa soni asingeleta uzi huu leo. Maana kuna uwezekano mkubwa ikawa ni aibu nyingine tena kwake.Yes, tukasikia tayari. Sumu imemtanguliza chuma mmoja toka Tz maeneo ya chuga, huko SA. Mara ghafla akatokea na misafara, watu kimyaaa mpaka leo. Huwa sikimbilii kuamini hadi, wimbo wa Taifa au breaking news.
Watu hawazungumzii dini. Wapo na mambo yao mengine. Acha kuleta Taharuki.Wala sio shida, na sisi ikiwa wakati wa mwenzenu tutahakikisha tunaanzisha harakati humu na kwingineko mpaka inchi isitawalike hii,
Ubaya ubwela
Yaani mnamuombea mtu afe kwa ajili tu ya dini yake? Nyie mtaishi milele?
X rated (Google) au?Nimetoka kuangalia X(Twitter) nimecrack code
Yaani Majaliwa ya watu ndio awe!!!?suluhu ... Tuzingatie majaliwa ya watu
Nani tenaUnajisemesha weeeπ ila ni mzima wa Afya endeleeni kirishana matango
Rudia kwa sauti ya juu na kwa herufi kubwa nilichoandika kisha wajuzi wakufafanulieMinong'ono ya Msechu kujiandaa kuingia studio ni "uzushi" usiofaa kupewa kipaza sauti
Nimekopi na kubandika, wasemaje Mshana Jr: kanusha na hilo.
Nimehamia hapa Lugalo getini, naangalia aina ya watu na magari yanayoingia na kutoka. Mpaka nimeshuhudia IST yenye matairi ya blue na vioo vyeusiTetesi huanza na minong'ono.. Hiyo minong'ono ikikoma huwa tetesi na tetesi zikikoma huwa breaking news..!
Dunia ya sasa iko uchi kutokana na maendeleo makubwa ya teknolojia.. Dunia haina siri tena!
Unafanya jambo gizani.. Tena giza totoro kabisa lakini unakuja kushangaa jambo hilo linakuja kuwekwa upenuni peupe kwa picha safi kabisa
Kuficha taarifa yoyote kubwa inayoihusu Jamii haisaidii chochote.. Tunaweza kafanya hivyo kwa lengo maalum na sababu maalum lakini kwa dunia hii ya sasa.. Taarifa zinaweza kuvuja zenyewe bila hata kuvujishwa na yoyote yule
Kuna madhara makubwa kwenye taarifa kuvuja zenyewe.. Maana ni sawa na bomba la maji lililopasuka na kuvujisha maji barabarani.. Yale maji hayana mwenyewe.. Yeyote anaweza kuyatumia vyovyote
Taarifa zinazovuja zenyewe hurembwa, hutiwa nakshi na kuongezewa vikolombwezo vya kila aina kulingana na mahitaji ya mlengwa!
Hakuna siri ya mtu moja duniani.. Ni fikra finyu kuruhusu minong'ono itawale kuliko kuweka wazi.. Akili ya binadamu ni kitu kisichozuilika.. Ukiibania taarifa unaiongezea udadisi na mshawasha wa kutaka kujua zaidi.. Kujua kulikoni...
Minong'ono ya Msechu kujiandaa kuingia studio ni uzushi usiofaa kupewa kipaza sauti
Hata haichekeshiHabari mpya toka Cuba ni hii hapa.
Dada hata weweWengine tunahangaika na episode za Balthazar tu, hatujui kitu tena.
Nimzima na mwenye afya hata mm niliongea naye leo π€« π π€«Tetesi huanza na minong'ono.. Hiyo minong'ono ikikoma huwa tetesi na tetesi zikikoma huwa breaking news..!
Dunia ya sasa iko uchi kutokana na maendeleo makubwa ya teknolojia.. Dunia haina siri tena!
Unafanya jambo gizani.. Tena giza totoro kabisa lakini unakuja kushangaa jambo hilo linakuja kuwekwa upenuni peupe kwa picha safi kabisa
Kuficha taarifa yoyote kubwa inayoihusu Jamii haisaidii chochote.. Tunaweza kafanya hivyo kwa lengo maalum na sababu maalum lakini kwa dunia hii ya sasa.. Taarifa zinaweza kuvuja zenyewe bila hata kuvujishwa na yoyote yule
Kuna madhara makubwa kwenye taarifa kuvuja zenyewe.. Maana ni sawa na bomba la maji lililopasuka na kuvujisha maji barabarani.. Yale maji hayana mwenyewe.. Yeyote anaweza kuyatumia vyovyote
Taarifa zinazovuja zenyewe hurembwa, hutiwa nakshi na kuongezewa vikolombwezo vya kila aina kulingana na mahitaji ya mlengwa!
Hakuna siri ya mtu moja duniani.. Ni fikra finyu kuruhusu minong'ono itawale kuliko kuweka wazi.. Akili ya binadamu ni kitu kisichozuilika.. Ukiibania taarifa unaiongezea udadisi na mshawasha wa kutaka kujua zaidi.. Kujua kulikoni...
Minong'ono ya Msechu kujiandaa kuingia studio ni uzushi usiofaa kupewa kipaza sauti
Nani huyo!!?Nimzima na mwenye afya hata mm niliongea naye leo π€« π π€«
Nina siku nyingi sifuatili habari mbalimbali,
Itachukua muda kujielemisha kidogo kuliko kujidhalilisha namna hii na ukubwa wako!Mimi nimejiandikia tu best baada ya Amphibia kuliwa kichwa na nyuki wakali sasa redio mbao zinasema watamtimua