Tetesi huanza na minong'ono

Tetesi huanza na minong'ono

Yes, tukasikia tayari. Sumu imemtanguliza chuma mmoja toka Tz maeneo ya chuga, huko SA. Mara ghafla akatokea na misafara, watu kimyaaa mpaka leo. Huwa sikimbilii kuamini hadi, wimbo wa Taifa au breaking news.
Huyo huyo mleta mada ndiye alianzishaga hiyo story. Kwa kuumbuliwa kule kama angekuwa ni mtu wa soni asingeleta uzi huu leo. Maana kuna uwezekano mkubwa ikawa ni aibu nyingine tena kwake.
 
Wala sio shida, na sisi ikiwa wakati wa mwenzenu tutahakikisha tunaanzisha harakati humu na kwingineko mpaka inchi isitawalike hii,
Ubaya ubwela

Yaani mnamuombea mtu afe kwa ajili tu ya dini yake? Nyie mtaishi milele?
Watu hawazungumzii dini. Wapo na mambo yao mengine. Acha kuleta Taharuki.
 
ona sasa nilijua tu ramli yako inauchuro ndani yake, kuna taarifa mbaya tayari
Hii au nyingine
IMG-20241109-WA0018.jpg
 
Tetesi huanza na minong'ono.. Hiyo minong'ono ikikoma huwa tetesi na tetesi zikikoma huwa breaking news..!
Dunia ya sasa iko uchi kutokana na maendeleo makubwa ya teknolojia.. Dunia haina siri tena!
Unafanya jambo gizani.. Tena giza totoro kabisa lakini unakuja kushangaa jambo hilo linakuja kuwekwa upenuni peupe kwa picha safi kabisa

Kuficha taarifa yoyote kubwa inayoihusu Jamii haisaidii chochote.. Tunaweza kafanya hivyo kwa lengo maalum na sababu maalum lakini kwa dunia hii ya sasa.. Taarifa zinaweza kuvuja zenyewe bila hata kuvujishwa na yoyote yule

Kuna madhara makubwa kwenye taarifa kuvuja zenyewe.. Maana ni sawa na bomba la maji lililopasuka na kuvujisha maji barabarani.. Yale maji hayana mwenyewe.. Yeyote anaweza kuyatumia vyovyote
Taarifa zinazovuja zenyewe hurembwa, hutiwa nakshi na kuongezewa vikolombwezo vya kila aina kulingana na mahitaji ya mlengwa!

Hakuna siri ya mtu moja duniani.. Ni fikra finyu kuruhusu minong'ono itawale kuliko kuweka wazi.. Akili ya binadamu ni kitu kisichozuilika.. Ukiibania taarifa unaiongezea udadisi na mshawasha wa kutaka kujua zaidi.. Kujua kulikoni...

Minong'ono ya Msechu kujiandaa kuingia studio ni uzushi usiofaa kupewa kipaza sauti
Nimehamia hapa Lugalo getini, naangalia aina ya watu na magari yanayoingia na kutoka. Mpaka nimeshuhudia IST yenye matairi ya blue na vioo vyeusi
 
Tetesi huanza na minong'ono.. Hiyo minong'ono ikikoma huwa tetesi na tetesi zikikoma huwa breaking news..!
Dunia ya sasa iko uchi kutokana na maendeleo makubwa ya teknolojia.. Dunia haina siri tena!
Unafanya jambo gizani.. Tena giza totoro kabisa lakini unakuja kushangaa jambo hilo linakuja kuwekwa upenuni peupe kwa picha safi kabisa

Kuficha taarifa yoyote kubwa inayoihusu Jamii haisaidii chochote.. Tunaweza kafanya hivyo kwa lengo maalum na sababu maalum lakini kwa dunia hii ya sasa.. Taarifa zinaweza kuvuja zenyewe bila hata kuvujishwa na yoyote yule

Kuna madhara makubwa kwenye taarifa kuvuja zenyewe.. Maana ni sawa na bomba la maji lililopasuka na kuvujisha maji barabarani.. Yale maji hayana mwenyewe.. Yeyote anaweza kuyatumia vyovyote
Taarifa zinazovuja zenyewe hurembwa, hutiwa nakshi na kuongezewa vikolombwezo vya kila aina kulingana na mahitaji ya mlengwa!

Hakuna siri ya mtu moja duniani.. Ni fikra finyu kuruhusu minong'ono itawale kuliko kuweka wazi.. Akili ya binadamu ni kitu kisichozuilika.. Ukiibania taarifa unaiongezea udadisi na mshawasha wa kutaka kujua zaidi.. Kujua kulikoni...

Minong'ono ya Msechu kujiandaa kuingia studio ni uzushi usiofaa kupewa kipaza sauti
Nimzima na mwenye afya hata mm niliongea naye leo 🤫 🙊 🤫
 
Back
Top Bottom