Tetesi huanza na minong'ono

Tetesi huanza na minong'ono

Usenge wako peleka huko sijadiliani na mashoga kama wewe.
Kwa hiyo tangu umeanza ushoga kwa hiari ndiyo umekuwa na tabia ya kujaribu kukisia kujua kama unaojibizana na na wenyewe ni mashoga kama ulivyo?
Labda nikupe ushauri wa kiungwana, hako katabia ka kuruhusu wenzako wakuingilia siyo kazuri, jitahidi uachane nako, tafuta mwanadaikolojia, atakusaidia sana
 
Mkuu ukosefu wa ajira katika jamii ya Tanzania ndo chanzo cha tetesi na minong'ono, hu uzi wako watu watatunga mengi na kuhama mada kwasbb wengi hupenda taarifa mbaya kwa wenzetu......yangu ni macho hu uzi unaishia pabaya tuna roho za kishetani, kwasbb lilitokea kwa JPM wengi hutamani limkute na mgine ila Mungu hafuati matakua ya watu, Mama bado yupo mpaka pale mungu atakapo penda kadari yake ifike.
Yeyote yule anayeyasimamiana kuyalinda magenge ya utekaji na uuaji akitangulia itakuwa nafuu kwa Taifa.
 
Pamoja na kuchukiana na kutofautiana kutokana na itikadi za kisiasa,si vizuri
Kuzusha au kufurahia mtu kupoteza maisha.

Tutangulize Utu na ubinadamu kwanza
Kama watu wanadai vifo vya wengine ni drama, hata wao wakifa itabidi sisi wengine pia tufurahi, maana hawana utu.
 
Haya maisha tutendeane mema na kuombeana dua njema. Tukumbuke maneno haya:

Lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi,
ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni; maana yeye huwaangazia jua lake waovu na wema, huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki.

Mwisho wa siku kila mtu atalamba sakafu.
Sema wale wabaya wakitangulia kulamba sakafu ni nafuu kwa wanaobaki.
 
Tumuombee binadamu mwenzetu apone, kama kweli anaumwa. Watu hupenda kufurahia vifo, hata bila kujua kuwa huenda they'll be next.
Hawa Hawa wanaosema kutekwa na kuuawa kwa wengine ni drama!
 
Back
Top Bottom