Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe na wewe Mama yangu unazo ?Wengine tunahangaika na episode za Balthazar tu, hatujui kitu tena.
Wakati ule ilianza hivihivi nyie nyie nyie mkomeDah aiseeeeeeee basi safari iko ndefu hii mifumo balaa
Nani katangulia..??
Hoja nzito Sana hii. Nasisitiza uzingatiwe🙏Mk
uu kuna ile law inasema "to every action there is equal and opposite reaction".kwa sasaiv haya mambo ya watu wakawaida kuwatakia mabaya viongoz ni tabia mbaya saana saana,ila kuyazuia ni vigumu saana.Hii ni kutokana na dhana ya baadhi au wataz walio wengi kuamin kuwa serikali inahusika ktk matukia ya kuumizwa,kupotea au kuuawa kwa baadhi ya watu.Sasa wewe unadhan watu wa karibu au wotz walioguswa na wahanga hao watawawazia nini hao wanaowadhania kuwa ni wahusika !?.
Ushauri wangu hata kama kunasababu zozote za kiusalama,kisiasa au sabab binafsi zisizozuilika zinazo pelekea serikali kuhusishwa ktk baadhi ya matukio ya kuumia kwa baadhi ya watu basi liingaliwe katika weledi wa hali ya juu sana na uliotukuka kwa maslahi mapana ya umoja wa kitaifa kuanzia viongozi hadi raia wa kawaida wa itikadi zote.
Unamaanisha chura kiziwi?Nimeingia X kwa Maria Sarungi, habari ni tetesis ya Bi. Mkubwa kuwa magonjwa na kwamba taarifa inafichwa.
Muda utaongea.
Mshatolewa kwenye ajenda ya kukatwa majina serikali za mitaa mpaka rahisi atapooneka uchaguzi utakuwa ushapita na mshafeliGamondi eti anatimuliwa
Ajenda uchaguzi serikali ya mitaa ishapigwa chini baada ya hapo CCM anashida 100%Mk
uu kuna ile law inasema "to every action there is equal and opposite reaction".kwa sasaiv haya mambo ya watu wakawaida kuwatakia mabaya viongoz ni tabia mbaya saana saana,ila kuyazuia ni vigumu saana.Hii ni kutokana na dhana ya baadhi au wataz walio wengi kuamin kuwa serikali inahusika ktk matukia ya kuumizwa,kupotea au kuuawa kwa baadhi ya watu.Sasa wewe unadhan watu wa karibu au wotz walioguswa na wahanga hao watawawazia nini hao wanaowadhania kuwa ni wahusika !?.
Ushauri wangu hata kama kunasababu zozote za kiusalama,kisiasa au sabab binafsi zisizozuilika zinazo pelekea serikali kuhusishwa ktk baadhi ya matukio ya kuumia kwa baadhi ya watu basi liingaliwe katika weledi wa hali ya juu sana na uliotukuka kwa maslahi mapana ya umoja wa kitaifa kuanzia viongozi hadi raia wa kawaida wa itikadi zote.
Ila bro Mshana mnafiki wa kutisha. Kalizua la kuzua, kaacha watu wanaumiza vichwa, yeye anaandika habari za Gamondi.Gamondi eti anatimuliwa
Asante kwa mtazamo hasi wa kuniita mnafiki wa kutisha.. Nimepokea kwa mikono miwili kwakuwa sibaguiIla bro Mshana mnafiki wa kutisha. Kalizua la kuzua, kaacha watu wanaumiza vichwa, yeye anaandika habari za Gamondi.
Za Msedchu kuingia studdio katelekezea watu.
Tetesi huanza na minong'ono.. Hiyo minong'ono ikikoma huwa tetesi na tetesi zikikoma huwa breaking news.
Dunia ya sasa iko uchi kutokana na maendeleo makubwa ya teknolojia. Dunia haina siri tena!
Unafanya jambo gizani. Tena giza totoro kabisa lakini unakuja kushangaa jambo hilo linakuja kuwekwa upenuni peupe kwa picha safi kabisa
Kuficha taarifa yoyote kubwa inayoihusu Jamii haisaidii chochote. Tunaweza kafanya hivyo kwa lengo maalum na sababu maalum lakini kwa dunia hii ya sasa. Taarifa zinaweza kuvuja zenyewe bila hata kuvujishwa na yoyote yule
Kuna madhara makubwa kwenye taarifa kuvuja zenyewe. Maana ni sawa na bomba la maji lililopasuka na kuvujisha maji barabarani.
Yale maji hayana mwenyewe.. Yeyote anaweza kuyatumia vyovyote
Taarifa zinazovuja zenyewe hurembwa, hutiwa nakshi na kuongezewa vikolombwezo vya kila aina kulingana na mahitaji ya mlengwa!
Hakuna siri ya mtu moja duniani.. Ni fikra finyu kuruhusu minong'ono itawale kuliko kuweka wazi.. Akili ya binadamu ni kitu kisichozuilika.. Ukiibania taarifa unaiongezea udadisi na mshawasha wa kutaka kujua zaidi.. Kujua kulikoni...
Minong'ono ya Msechu kujiandaa kuingia studio ni uzushi usiofaa kupewa kipaza sauti