Uko sahihiHuwezi kupigwa goli 5 kwa 5 halafu ukasema una beki.
Unanionea aisee, mm wakuwaza hayo...? CC. OKW BOBAN SUNZU😡ShadeeyaHuyo mtani wako anazunguuuuuka,mara aweke mabano mara abold. Aache mafumbo fumbo,au shungi lako linamtia domo zege?
c.c Therapist 2015
Msamehe bure, Shadeeya:Huyo mtani wako anazunguuuuuka,mara aweke mabano mara abold. Aache mafumbo fumbo,au shungi lako linamtia domo zege?
c.c Therapist 2015
Nani anaachwa maana tayari tuna wachezaji wa nje kumi.
Kweli mkuu.. Haruna Moshi Boban ndiyo anachipukia sasaWrite your reply...tuyisenge mwenyewe alikuwa ni yule wa police fc ya huko kwao Rwanda huyu wa gor anamalizia tuu soka lake
Juuko, Gyan, Kwasi hawa sidhani kama watabaki.Nani anaachwa maana tayari tuna wachezaji wa nje kumi.
vyura naona sasa hivi mnaomba poo nyie si ndio mlitaka mchukue wachezaji wote wa simba ili mrudishe bao tano kwani Ajib, Yondani, Tambwe wametokea wapi ukiacha boban ambaye mmechukua toka timu nyingine lakini aliwahi kuchezea simba hivi mnasahau mlimsajili hadi Okwi ila kwa mapenzi yake Simba akaamua kurudi kina Dida na Benitez mmesahau nyinyi ndio mnawaza ili mpate mafanikio lazima mchukue mchezaji toka SimbaTatizo la timu za bongo zikianza kuishambulia timu moja kuchukua wachezaji wake ni hapo hapo. Wakati yanga ilipokuwa kwenye peak akili zao zilikuwa zimbabwe hasa platnum tuu , huu ugojwa simba wameambukizwa. Kama ana hela pale AS VITa kuna mitambo ambayo sii ya dunia hii ina speed na vipawa
Shikamoo jazzmnabeba vizee kila siku mwisho itakuwa timu ya maveterani
Nani anaachwa maana tayari tuna wachezaji wa nje kumi.
Hapa ndo umenifumbua, nilikua najiuliza hivi simba wamemwachaje mwanjaliWawa inabidi aachwe ametugharimu mechi nyingi kwa kifupi mwili wake na akili haviendani kama sio majeruhi Mwanjali ni bora mara 100 kuliko wawa, Gyan na kwasi pia waonyeshwe milango ya kutokea halafu Nyozima sio anasubiri mkataba uishe ndio anaanza kujituma muda mwingi alikuwa anapokea mshahara wa bure
Kama Cristiano Ronaldo ndo anachipukia sasa hivi kwanini boban ashindwe mkuu??
Okwi tofauti na kupigwa bei hawezi kutoka simba kizembe.Simba wawaache wachezaji wafuatao wa kigeni; asante kwasi, gyan, Juuko, na Okwi
Sent using Jamii Forums mobile app
Bukaba ni kutoka nchi gani mkuu? Stori za JF zinafumbua macho sana
Bukaba ni Mtz mkuu japo ameishi sana burundiBukaba ni kutoka nchi gani mkuu? Stori za JF zinafumbua macho sana
Nimeona umemtumia kujibu swali la foreigners wa kuachwaBukaba ni Mtz mkuu japo ameishi sana burundi
Sent from my HTC Desire 520 using JamiiForums mobile app