Tetesi: Jack Tuyisenge atua nchini kumalizana na Mo Dewji

Tetesi: Jack Tuyisenge atua nchini kumalizana na Mo Dewji

Tatizo la timu za bongo zikianza kuishambulia timu moja kuchukua wachezaji wake ni hapo hapo. Wakati yanga ilipokuwa kwenye peak akili zao zilikuwa zimbabwe hasa platnum tuu , huu ugojwa simba wameambukizwa. Kama ana hela pale AS VITa kuna mitambo ambayo sii ya dunia hii ina speed na vipawa
vyura naona sasa hivi mnaomba poo nyie si ndio mlitaka mchukue wachezaji wote wa simba ili mrudishe bao tano kwani Ajib, Yondani, Tambwe wametokea wapi ukiacha boban ambaye mmechukua toka timu nyingine lakini aliwahi kuchezea simba hivi mnasahau mlimsajili hadi Okwi ila kwa mapenzi yake Simba akaamua kurudi kina Dida na Benitez mmesahau nyinyi ndio mnawaza ili mpate mafanikio lazima mchukue mchezaji toka Simba
 
wanyakyusa kaeni mbali maana hamkawii kusema ndugu yenu kama yule mwakampya.
 
Wawa inabidi aachwe ametugharimu mechi nyingi kwa kifupi mwili wake na akili haviendani kama sio majeruhi Mwanjali ni bora mara 100 kuliko wawa, Gyan na kwasi pia waonyeshwe milango ya kutokea halafu Nyozima sio anasubiri mkataba uishe ndio anaanza kujituma muda mwingi alikuwa anapokea mshahara wa bure
 
Hapa ndo umenifumbua, nilikua najiuliza hivi simba wamemwachaje mwanjali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom